Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hatuna lakini wage Imbalance kwa sasa, Wachezaji wote waliokuja Kipindi cha Ole wana mishahara chini ya 300k (Ukitoa Ronaldo) . Wengi wanacheza baina ya 150k na 250k alieongezewa ni Bruno tu. Na wengi wenye Mishahara mikubwa wanaondoka.
 
Man united mpo desperate sana na mafanikio, nasikia uongozi ulitaka umpe Ten Hag kuwa sole controller wa kila kitu kiufundi.
 
Endapo kila kitu kitakwenda kama kinavyotaka kuonekana,tutabaki na tatizo moja tu la uzawa.
Man utd ina wachezaji wazawa wengi na tangu kipindi cha Ole wamekuwa wakicheza kikosi cha kwanza. Na mambo yanapokuwa tofauti wachambuzi wazawa wanaanzisha kelele hata kama uhalisia unaonekana.

Inabidi tupunguze haya makelele kwa kupunguza idadi ya wazawa ndani ya kikosi chetu.
rashford
maguire
wanbisaka
shaw
lingard
mctominey
greenwood
sancho
Chief-Mkwawa unalisemeaje hili wakati tunajiandaa kuitawala ulaya miaka 2 ijayo?
 
Kwahiyo wewe liverpool fan unajua sana mambo ya bodi ya man u kuliko sisi? Unafurahisha kweli chief 😂
 
Achana nae mkuu, liverpool huyo anajifariji tu
 
Hatuna lakini wage Imbalance kwa sasa, Wachezaji wote waliokuja Kipindi cha Ole wana mishahara chini ya 300k (Ukitoa Ronaldo) . Wengi wanacheza baina ya 150k na 250k alieongezewa ni Bruno tu. Na wengi wenye Mishahara mikubwa wanaondoka.

Amini usiamini Mchezaji yoyote anayeanzi £150K na kuendelea basi hatoondoka kwenye Timu mpaka amalize Mkataba wake! Kumbuka mpira no all about money.
Hao Wachezaji wenu wote ni overpayed hivyo wakitoka hapo Mishahara yao itashuka mana hakuna atakayemlipa Rashford £200K wakati thamani yake halisi ni £100K per week. Hivyo hawatokubali kuhama ili wakakatwe Mishahara! Kitakachofuati ni kama Özil tu alibakia Arsenal kwasababu ya Mshahara! Au Loris Karius mpaka Leo yupo Liverpool ingawa hachezi kwasababu ya Mshahara tu anasubiri Mkataba wake umalize.
 
Man united mpo desperate sana na mafanikio, nasikia uongozi ulitaka umpe Ten Hag kuwa sole controller wa kila kitu kiufundi.

Huyu ETH apunguze masharti yatakuja kumtokea puani.

As long as anapoweka more conditions basi na owners watamuekea more targets zao lazima azifikie! Asipozifikia basi ndani ya Msimu mmoja wanaweza kumfukuza.
 
Rashford hata Kesho PSG wanamtaka, na kwangu mimi Level ya Rahford Haipo Mbali sana na Mbape na Haaland, hatujakua tu Stable.

Pia Rashford ni proven Big Game player, Japo sio Striker ila Ana Magoli ya Kutosha Vs Top 6 EPL na Hata Ulaya Ana Goli za Kutosha hizo mechi chache vs Timu kubwa.

Na Hizo hela Wasipolipwa Wachezaji zinaingia mifukoni mwa Glazzer, Man U kuna Hela nyingi sana mkuu, na Ku spend Kote Huko Man U bado ni Katika timu zenye Ratio Ndogo sana baina ya Pato na Mishahara tunayolipa.
 
Mkuu Hii ni Kazi ya Kocha,

-Greenwood Hayupo,
-Rashford kwangu ni key Player,
-Maguire namuachia Kocha,
-AWB ana umuhimu wake ila Kama kocha hamuelewi beki wa Kati anaweza kumreplace role yake.
-Shaw key player, Full back pekee Utd anaejua kukaba na kushambulia.
-lingard anaondoka
-Mc tominay sio lazima aanze mechi zote ila Tunahitaji Uhuni wake
-Sancho Key Player.

ETH aje tu na DM kwa sasa, then Baada ya Hapo Tutajua Mbivu na Mbichi.
 
Hatuna lakini wage Imbalance kwa sasa, Wachezaji wote waliokuja Kipindi cha Ole wana mishahara chini ya 300k (Ukitoa Ronaldo) . Wengi wanacheza baina ya 150k na 250k alieongezewa ni Bruno tu. Na wengi wenye Mishahara mikubwa wanaondoka.
Mkataba mpya wa Bruno aliosaini juzi, ulipitishwa na ETH na Ralf?

Au waliamua kumuongezea tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ETH na Ralf wakiweza kuwaondoa hata 50% ya hao, nitaamini rebuilding inafanyika bila upendeleo.

Hasa waondoke wenye majina makubwa kama Rashford, Jones, Bissaka na Maguire.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa uwalipe hela zote mwisho wa siku wanageuka mafaza wasioambilika.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wachezaji akili zimeshafika mwisho na vipaji pia.

Binafsi sioni haja ya kushikilia mchezaji kisa ni key player wakati huko uwanjani atafanya madudu.

Bora iwe mechi 1 au 2. Sasa mechi zote mambo ni yaleyale.

Hakuna jinsi ukawatetea Rashford, Maguire, Bissaka mashabiki wakakuelewa.

Hao wengine kama Shaw na McTomminay unaweza ukaeleweka. Ila hao watatu wamesha-prove failure.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…