Basi ondoka humu na ukalale emptyhadKuaangalia game ambayo matokeo yake yanajulikana ni matumizi mabaya ya akili,sioni kabisa umuhimu wa hii game kwanLiverpool anaenda kumfunga man utd zaidi ya goli 3 ,....!
Rashford akipangwa,anaenda kumsumbua Sana Trent Alexander ArnoldPole kwa Ronaldo.
Leo CAVANI hayupo available?
Nakachukia Karashford hadi basi toka enzi za Ole, kanajikutaga staa kakiwa hakana changamoto ya namba.
Herera, Rojo over Maguire, kuwaondoa ni ufala.Ndio hivyo tena RR kashamuanika madhaifu yake.
Nakumbuka kuna game hakukuwa na Cavani wala Ronaldo lakini bado dogo hakupata namba kikosi cha kwanza,ndipo kakaanzisha sera za kuondoka kuwa hana imani na Ralf.
Hii ndio rebuild aliyotuachia Ole akituaminisha kuwa tuko kwenye right direction.
Mzee unamuongelea Rashford wa msimu uliopita sio huu, bora Elanga.Rashford akipangwa,anaenda kumsumbua Sana Trent Alexander Arnold
Eti Mctominay Anajua Kuliko Herrera.Hadi leo huwa sipati jibu kwa nini tulimuondoa Ander Herrera pale united.
Ole mjinga sana.
Mmh Mbona Kama Tushaloaa [emoji23][emoji16][emoji16][emoji16] ushindi lazima leo wanakufa nyingi hawa trust.View attachment 2193353
Bora atimkie zake man city mtaua kipaji chake nyie [emoji23][emoji23]Timu yetu ya hovyo. Leo nimesikitika eti Haaland anaenda Man City..mshahara wa pauni laki 5 kwa wiki. Hio hela tuliomsajili magwaya na wapuuzi wengine bora angeichukua yote Haaland
Hatuan kocha ... Ila tunampumbavu huwa anasimamia mazoezi[emoji16][emoji16][emoji16] ushindi lazima leo wanakufa nyingi hawa trust.View attachment 2193353
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hatuan kocha ... Ila tunampumbavu huwa anasimamia mazoezi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hatuan kocha ... Ila tunampumbavu huwa anasimamia mazoezi
Leo hatufungwi nakwambia.liva Jana kikosi Cha kutufunga.Leo mnakula 6-0
Itapendeza zaidi
2 ya Mavwaya
1 la Salah
1 la Mane
1 la Anold
1 la Jota akiingia