The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Shida ni kwamba watu wamekariri.Wanakera sana mdau , hawaoni mapungufu ya timu ni mengi mno ola Cr7 anajituma hana ubishoo hata anapocheza vibaya .
Hiyo gharama ya kumleta Kane bora tutafute kwingine au tubaki na CR7.kwako wewe ishu ni uingereza au uwezo wake, angalau ungelitumia hoja ya umri wake na majeruhi ingeleta mantiki kwa harry kane. dunia pia ina uhaba wa washambuliaji, chelsea wanatamani kumuondoa lukaku ila what next.
Kwa 4-3-3 sasa Ronaldo itakuwaje?ten hag hatumii 4:4:2 hivyo hawatocheza kwa pamoja. basi twende kwa benzema au kane ndio wenye sifa ya kucheza.
kocha anataka kuwa na mamlaka kamili juu ya timu, baada ya hapo hatokuwepo mchezaji mkubwa mbele yake. kitakachofuata ni performance ya mchezaji ndio itakayoamua.Kwa 4-3-3 sasa Ronaldo itakuwaje?
Huyu bozo anatugharimu sana. Hafai hata kugombea namba.namuona akivuliwa kinga ya unahodha na baada ya hapo atagombania namba. kwa performance yake ya msimu huu hakuna timu ya maana itakayomuhitaji kwa bei nzuri.
Hajawahi kukipiga Tottenham huyunatamani umri wa dusan tadic urudi nyuma.
Alikipiga SouthamptonHajawahi kukipiga Tottenham huyu
southamptonHajawahi kukipiga Tottenham huyu
We jamaa hata hueleweki,Sababu mojawapo ni
Kununua mastaa wenye ego, from di maria, falcao, to Pogba, Ronaldo, Sancho unategemea nini?.
TIMU INAYOWEZA KUFANYA POA NI ILE AMBAYO INATENGENEZA MASTAA NA SIO INAYONUNU MASTAA.
Simple as that
Ila Mkuu why unahisi namchukia Ronaldo?
Huoni nikiwaongelea Maguire, Rashford, Glazers, pundits ambao ni janga la MAN U.
Okay ngoja niweke wazi msimamo.
Pale United nashabikia timu inaitwa Manchester United. Nataka iwe na ushindani, iwe na mataji, legacy of theater of dreams iendelee.
Haijalishi ni mchezaji gani, akisaidia ushindi i have to appreciate, but MAN U FIRST.
Huyu mtoto nimemuangalia kama atasimamiwa vizuri naona makubwa sana mbele yake.baada ya kufunga hatrick yake ya 50, CR7 alimzawadia mpira alejandro garnacho.View attachment 2190027
mimi nimemuona david villa kwenye miguu yake, hana mambo mengi mguuni mwake lakini akimkunja beki jiandae na screw ya hatari.Huyu mtoto nimemuangalia kama atasimamiwa vizuri naona makubwa sana mbele yake.
inshaallah na tusubiri.Subiri baada iyo fainali utaona izo habari jamaa alisema ana focus na fainali haitaji kusumbuliwa na izo story
ππ kwamba ndonga magwaya yeye anakwamisha juhudi πππ
na alikataa nafasi ya kwenda kwa mkopo nchini ufaransa mwezi january, sijui hii jeuri wanaitolea wapi hawa wachezaji.P. Jones yeye anakula bila kazi