Manchester United (Red Devils) | Special Thread

alvaro fernandez(kushoto) na alejandro garnacho wakiwa pamoja na mentor wa tabia njema aitwaye juan mata. unavyomuona daley blind kiuchezaji ndivyo alivyo fernandez. si luke shaw wala telles anayeweza kupambana na ubongo wa fernandez. huyo garnacho ni david villa wa argentina.
 
ETH hatoshi wazee siunaona hata nagelsman wa bayern anazngua na tuliamnin angekuja United anasaidia coz alikuw nmefany vzr RB Leipzig...mm naona ETH tumuombee kwa Mungu sio lingne zaidi pengne tuna laana km de gea alivosema
 
Sema akisajili madogo km anthony, halaand,CB, CMD, nahic atafany vzr sana.
 
Huyo Shaw si mpk mlimuita shawberto Carlos
 
jarod bowen huyu ndiye muingereza pekee nitakayefurahishwa na kusajiliwa kwake, tusisubirie mpaka jurgen klopp amsajili ndio tuone ubora wake.kwa wanaofuatilia mechi za west ham wanafahamu ninachokizungumza, bahati mbaya sana amefichwa na kelele za declan rice. kama si majeruhi yake ya mara kwa mara nisingelisita kumuongeza kelvin phillips wa leeds united kwa sababu ni DM wa uhakika.
 
Unaongelea Bissaka huyu huyu anayewaza kuingia chini ya miguu ya watu au kuna mwingine mkuu?
 
Unaongelea Bissaka huyu huyu anayewaza kuingia chini ya miguu ya watu au kuna mwingine mkuu?
Huyo huyo mkuu, confidence ishakufa now ni ovyo ila dogo ana msaada ikiwa timu itajielewa from Keeper mpaka washambuliaji.

Unategemea apocket nani sasa ikiwa wakibadilisha upande wake wa mashambulizi wapeleke kwa Shaw na Maguire, plus mawinga wabinafsi kina Trashford kupoteza mipira then full back uanze mbio kulinda.


ILA BOSS UNAWEZA PENDEKEZA RB anayetufaa tujue.
Dalot anazingua Ulinzi.
 
Dalot hata Ten Haag kasha toa order kuwa hana mpango nae. Dalot siyo beki yulee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…