Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sijapata kupata hasira japo nimefunga swaum ramadha,nilifanyakazi Kuni control
 
Mechi anazo takiwa ashindee ana poteza point,Usishangae akapata draw na Norwich [emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Rangnick siyo kocha ni Kashasha ambae ni mjerumani.

Eti kawafundisha Klopp na Tuchel [emoji1787][emoji1787][emoji1787].Tusubiri tuone,SI atakutana nao [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] wanafunzi wake
 
Sasa hivii wachezaji ndo wanapelekewa lawama[emoji1787][emoji1787] wakati sifa alizo kuwa anapewa mpaka kuwa contender wa UCL[emoji13][emoji13][emoji13] si mchezo
 
Hivi pale Manchester United kuna madaktari wa Afya ya Akili kweli!? Mbona baadhi ya wachezaji wanaonekana kabisa wamepagawa/kuchanganyikiwa na akili na hawapewi huduma husika. Captain ni mhanga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…