Kama kawaida naona dakika Hz z lala salama dunia inaendelea kuwa na furaha hii NI baada ya kumshuhudia beki ghari n mwenye kipaji kuliko wote duniani Maguire akilisakata dimbani
Hii game Everton wameweka intensity kubwa mno, inanikumbusha game ya Arsenal vs Brighton 1st round. Game ni mental zaidi, kama United wakiwa passive mentally wanapoteza hii mechi.