Mkuu Castr Lampard ni kocha mbovu, timu haieleweki inatafuta nini wakati alipewa january transfer window ameshindwa hata kufix matatizo ya msingi.
Eddie Howe pale Newcastle alikuta techhnical level ipo chini sana ila anaonesha somehow nini anafanya
Akifungwa leo afukuzwe walete kocha mzuri kuinusuru timu .