Akimwita Kombe la Dunia,Sura Yako utaiweka wapiii kijanaNdio maana umeona sasa kwanini kocha wa Taifa la uingereza hajamwita Sancho kwenye kikosi chake
Mbona Leo sioni visingizio vya magwaya. Na Ile list ya wanao takiwa kuiacha timu maana hawana hadhi ya kucheza timu,mbona siioniHapa hamna timu kabisa
Na akifungwa Leo,jmos lazima atakazaa kusudi ashishuke daraja.Jmoss saa 8 mchana mnaingia gheto kwa Everton
Dunia nzima ishaanza kuwa na furaha tena
Yaaa exactly ila not for unitedTusubiri tuone!!! Maana Epl haijawahi kuishiwa UTAMU.
Kama unaamini Sancho ataitwa basi unatatizo la akili hivi ulimsikia kocha wa uingereza alichojibu baada ya kuulizwa na mwandishi mmoja kwanini ajamwita sanchoAkimwita Kombe la Dunia,Sura Yako utaiweka wapiii kijana. Zile game zilikuwa friend match TU ndo maana hata James akasepa
Rudia kusoma Mkuu! Nimesema vipi ikitokea akaitwa kwenye kombe la dunia? Maana walio itwa Kwa international break ya juzi Siyo kwamba ndiyo watakao kwenda Qatar. Ndo nauliza utasemaje???Kama unaamini Sancho ataitwa basi unatatizo la akili hivi ulimsikia kocha wa uingereza alichojibu baada ya kuulizwa na mwandishi mmoja kwanini ajamwita sancho
Is for Liverpool and Man city only nigger! that is why they rotating the epl trophy each other every seasonYaaa exactly ila not for united
Ndio maana nimekuambia itafute clip ya kocha wa uingereza uone alichojibu swali ya mwandishi kuhusu sancho baada ya kusikiliza hiyo clip alafu jiulize kuna dalili yoyote ya sancho kuitwa?Rudia kusoma Mkuu! Nimesema vipi ikitokea akaitwa kwenye kombe la dunia? Maana walio itwa Kwa international break ya juzi Siyo kwamba ndiyo watakao kwenda Qatar. Ndo nauliza utasemaje???
Wala Haina haja ya kutukana kuwa Nina tatizo la akili ungali,Ingali akili Yako inatia mashaka.
Atajua mwenyewe na maisha yake. Aitwe au asiitwe shauri yake.Ndio maana nimekuambia itafute clip ya kocha wa uingereza uone alichojibu swali ya mwandishi kuhusu sancho baada ya kusikiliza hiyo clip alafu jiulize kuna dalili yoyote ya sancho kuitwa?
Suala n kwamba huyo Sancho hakuitwa kabisa James aliitwaAkimwita Kombe la Dunia,Sura Yako utaiweka wapiii kijana. Zile game zilikuwa friend match TU ndo maana hata James akasepa
Sawa.Suala n kwamba huyo Sancho hakuitwa kabisa James aliitwa
Is for Liverpool and Man city only nigger! that is why they rotating the epl trophy each other every season
Nic observationtakribani timu zote zilizotufunga round ya kwanza pia tumeshindwa kuzifunga round ya pili. Timu hizo ni aston villa, watford, leicester city na manchester city. Bado liverpool hatujacheza nao ambao pia wametufunga round ya kwanza.