Manchester United (Red Devils) | Special Thread

nyie AssAnal mtaendelea kupewa mabakuli halafu mlivyo mapopoma mnashangilia kwa vifijo kwelikweli kumbe dunia inawachora tu jinsi mlivyo mapoyoyo.
Naona tayari mmekabidhiwa kombe jingine endeleeni kutembea vifua mbele.
 
Mchezaji bora kuwahi kutokea tangu Manchester iundwe Le captain harry maestro Maguire go boy make us proud.
 
Li timu lina wachezaji empty headed, yanasaini kuongeza mikataba hata bila kujua ni Meneja yupi anakuja baada ya rangnick.
What if manager anayekuja hatakuweka kwenye mipango yake? Idiots
 
Kocha ni mjinga au anajua mashabiki wa hii timu ni wajinga so anapanga tu wachezaji anavyojisikia?
 
Wanacheza kama walevi yaani hakuna passion kabisa hii timu imeoza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…