Ila Huyu kocha na Maguire wake sijui tu labda mpaka siku atuuwe ndo atamuacha yani Maguire anamuweka nje victor kweli?? Dah halafu hawa macfred ni combo nisiyoikubali hata kidogo. Ngoja tuone Rashid makame karudishwa benchi hahaha.
Au labda kuna issue ya kimkataba inayomlinda Maguire kucheza kila mechi? Haiingii akilini kabisa Maguire kuanza kila mechi licha ya kutuharibia karibia 70% ya mechi zetu msimu huu.
Nina uhakika akimalizana na Man Utd hakuna team ya maana itakayomhitaji, ni mchezaji ataketoka team kubwa kwenda ndogo labda tuamue kumlinda kama Jones.