RR tunapishana kwa Maguire tu basi na Rashford kaanza ili iweje anyway wacha tuone game time anayolilia ataitendea haki au atakua kapewa nafasi ya tonge mdomoni kwa Simba
yani kasakiziwa hii game aharibu tu awekwe benchi msimu mzima.
RR namuelewa sana mzee kwenye sehemu hizi hatafuni maneno wasituchoshe uwanjani ziro ukiwekwa benchi unaanza drama za kuondoka mpuuzi aende wameondoka watu wamaana wakiwa kwenye peak sembuse yeye.