Alibahatisha tu na Madrid msimu huo alikuwa hovyo mno kulinganisha na sasa hivi.Mbona city alimtoa Madrid ?
Wewe jamaa eti alibahatisha....kaangalie tena Highlights Madrid alipigwa nje ndani na alizidiwa kilakitu....Alibahatisha tu na Madrid msimu huo alikuwa hovyo mno kulinganisha na sasa hivi.
Kumbuka pia Man City alikuwa ameshamtoa alimchomoa PSG kama kumbukumbu zangu ziko sawa.
PSG ni timu ya kawaida sana mbele ya
Bayern
Man United
Liverpool
Chelsea
Barcelona
Madrid
Juventus
Mbona mwaka jana walitolewa na City kama wamesimama vile?..Hapana PSG ni underdog kwa Madrid na itaendelea kuwa hivyo.
Huwezi kutenmgemea underdog aitoe timu yenye uzoefu mkubwa kama Madrid kwenye mashindano.
Kuna mshkaji wangu yupo Ukraine anasema Warusi siku ambayo Man united inacheza hua wanasimamisha mashambulizi mpaka mechi inapoisha.Manchester United inacheza leo na dunia yote ina furaha
Huyo Madrid mzoefu katolewa na Chelsea mwaka Jana au unataka kusemaje .....Hapana PSG ni underdog kwa Madrid na itaendelea kuwa hivyo.
Huwezi kutenmgemea underdog aitoe timu yenye uzoefu mkubwa kama Madrid kwenye mashindano.
Mbona hyo furaha hatuioni na humu...ingekuwa kweli watu wanafurahi tungeona hii thread imejaaKuna mshkaji wangu yupo Ukraine anasema Warusi siku ambayo Man united inacheza hua wanasimamisha mashambulizi mpaka mechi inapoisha.
Unaambiwa waukrein siku Manchester inapokua uwanjani nchi yote ni shangwe tu wanasahau hata kama wapo vitani.
Mbona hauna imani na team yako?Another matchday,another frustration day.
Timu imekuwa mdebwedo sanaMbona hauna imani na team yako?
Chelsea ni timu yenye uzoefu pia kwenye International games na chelsea walimtoa Madrid wakaenda kuifunga timu iliyokuwa form ila haina experience na international football(Man City).Huyo Madrid mzoefu katolewa na Chelsea mwaka Jana au unataka kusemaje .....
Hakuna uzoefu et sijui Nini huyo Madrid anapigika kisawa sawa ni mbinu tu ...poch ni kocha Hana mbinu tu .....ila Madrid ya Sasa ikikutana na timu yeyote ya epl anachezea kichapo ...hata man utd anaweza mtoa Madrid aisee
Msimu uliopita Madrid ilikuwa na kiwango kibovu sana kulinganisha na sasa.Mbona mwaka jana walitolewa na City kama wamesimama vile?..
Pochetino na wachezaji wake wote wamezingua pakubwa kushindwa kuwatoa Madrid..ni yaleyale ya Ole Gunnar
Kufungwa nusu fainali nne consecutively na kupoteza final kizembe tu.
Reason behind??Msimu uliopita Madrid ilikuwa na kiwango kibovu sana kulinganisha na sasa.
Msimu uliopita Man City alikuwa favourite wa kutwaa UEFA kwahiyo ilikuwa possible kabisa Man city kumtoa Madrid.
Lakini PSG kwangu mimi naona ni timu ambayo kwenye rank za timu kubwa ulaya ni timu ambayo haina ubavu wa kupambana na vilabu vikubwa.