Zachini chini..inasemekana ralf kamwambia ronaldo atoweza kucheza mechi ya leo kufatana na mikiki mikiki yake hivyo Ronaldo nae kaona isiwe kesi ameomba asiwepo kabisa hata kwenye benchi maana kwake kukaa bechi ni fedhea.
Kwaiyo leo tutao wakosa leo
Ronaldo
Cavani
Varane
Shaw