Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
Sasa Kuchukua CL ni kitu ambacho kafanya united tu ...timu kibao zimechukua ..Hamuwezi kutengeneza historia yenu ,
Munacho jaribu kukifanya kishafanywa na hao unao waita nyumbu.Wee unafanya marudio tu.
Ambayo mengine hutoweza kuyafanya Kwa kipindi hiki [KUCHUKUA UCL]
Kwani tunazungumzia kuhusu timu nyingine?Sasa Kuchukua CL ni kitu ambacho kafanya united tu ...timu kibao zimechukua ..
ile picha haitakusaidia kupata point tatu zaidi unaonekana kinegaWazee mwenye ile picha ya yule dogo yupo mbele ya Etihad naiomba. Matumizi yake yamekaribia halafu sina.
Hivi wewe ni demu au!? Daah! Una mdomo mrefu.Jack Hana statistics nyingi lakini akiwa uwanjan ana impact kubwa tu ...!
Nyie wachambuzi uchwara ambao mnaangalia goal na assist kujua mchezaji Bora ndio mnabaki na vihoroo moyoni ....!
Unaona huo ni mwandiko wa kike ,wewe kinega niniHivi wewe ni demu au!? Daah! Una mdomo mrefu.
Mbona yupo sahihi tu mkuuManeno mazito haya kutoka kwa babu ralf rangnick, kwa ufupi hapa babu anawaambia wenye timu musihangaike na makocha wanaojua kutafuta ushindi wa msimu moja bali tafute kocha atakayeingiza roho ya ushindi kwa muda wote ujao.
Eric ten hag at the wheel.
ndivyo nilivyouelewa usia wa ralf.
---------------------------------++----++++++
Rangnick on if the next manager will be able to give #mufc a clear identity:
"I don't know. That would obviously depend on the manager next season.
Every head coach has his idea of football.
But for me is about continuing at the highest level."
Nachompendea RR, hakwepeshi iwe live, iwe kwenye media, au popote. Wajerumani ndio walivo hata hivyoRangnick:
"For me, Jurgen [Klopp] and Pep are two of the best coaches in Europe. They have a clear idea of football and have a vision."
________________&&_______________
Huyu mzee ameamua kututukana hadharani
Ile picha naikubali sema dogo kazingua sana kuvaa jezi namba 5Wazee mwenye ile picha ya yule dogo yupo mbele ya Etihad naiomba. Matumizi yake yamekaribia halafu sina.
Sports director Mourtough amesema mipango ya kupatikana kocha mpya ishaanza kwa kasi,so Rangnick hajahusishwa hata kidogo?..Maneno mazito haya kutoka kwa babu ralf rangnick, kwa ufupi hapa babu anawaambia wenye timu musihangaike na makocha wanaojua kutafuta ushindi wa msimu moja bali tafute kocha atakayeingiza roho ya ushindi kwa muda wote ujao.
Eric ten hag at the wheel.
ndivyo nilivyouelewa usia wa ralf.
---------------------------------++----++++++
Rangnick on if the next manager will be able to give #mufc a clear identity:
"I don't know. That would obviously depend on the manager next season.
Every head coach has his idea of football.
But for me is about continuing at the highest level."
We mbwa Koko unatafuta nini huku usiku getoni kwa masela ,, leo mmepiga bomu mochwari mnajisifia mmeuaNyie mbanga kesho mutapakuliwa bao ngapi?