Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,426
- 8,726
Mimi team Ronaldo namkubali sana ila msimu ujao kwa kweli aende marekani akapumzike huko.Ina maanisha nini?
Hatuna Straiker complete..Ronaldo atupishe msimu ujao..we can't afford building a team around him..tutakuwa mapunguani wa kupindukia.
Kati ya Cr7 na Muagentina Bora awe ana warotate..na au bora ahezeshe 4 1 3 2Yani toka ralf aje kuna utofauti mkubwa Sana sema uyum mzee anaangushwa sana na strike yetu ila mbinu anazo tusiwe wanafiki.
Shida co Ronaldo mkuu shida ni timu nzima imepoteza Ari na kujiamini, kama Ronaldo hafungi kina Bruno c wapo? Wafunge basi lkn waapii, kipindi hiki hata aje mchezaji gani hawezi kufaulu pale mpk hiki kipindi kiishe, ss haijulikani kitaisha lini au ndiyo baba Jeni.Tunapitia mateso, hata Yesu hajakumbana nayo pale msalabani.
Ila yana mwisho.
Tuliaminishana kua tatizo ni Sorkajaer, tumemtimua na sasa tuna professor, lakini hali imekua mbaya zaidi ya awali.
Ronaldo wa sasa ni bora umuangalie Mayele tu, sijui kwanini kocha anamuamini?
Mkuu napingana na wewe....yani unasema hata aye mchezaji gani hawezi fan ikiwa hivi unauhakika zile chance anazokosa Ronaldo Halland na Lewandowski watakosa?Shida co Ronaldo mkuu shida ni timu nzima imepoteza Ari na kujiamini, kama Ronaldo hafungi kina Bruno c wapo? Wafunge basi lkn waapii, kipindi hiki hata aje mchezaji gani hawezi kufaulu pale mpk hiki kipindi kiishe, ss haijulikani kitaisha lini au ndiyo baba Jeni.
Utawasikia wapinzani wanatuita nyumbu na majina kibao kibao, cjui huwa wanamaanisha nn aisee.Mkuu napingana na wewe....yani unasema hata aye mchezaji gani hawezi fan ikiwa hivi unauhakika zile chance anazokosa Ronaldo Halland na Lewandowski watakosa?
The issue kuhusu Ronaldo ni amekwisha zama zake zimeishapita, hatuwezi kumtegemea tena....tungekuwa na striker decent tungekuwa mbali ......
The fact kuwa America mzigo hakabi, hapless hata kidogo, anapoteza chances za wazi, anapoteza mipira haipaswi afumbiwe macho....the man is finished.....shida ya kwanza sahizi katika kibosh chetu ni Ronaldo kuna Anna ya mpira hatuwezi cheza sababu tunacheza 10 uwanjani
Tujikumbushe kidogo watu wanasahau sana.View attachment 2136494
@Pain killer
Tusi kubwa Sana dunianiWeekend mnaenda geto la mancity
Na Bado jpili mtajuta kuingia uwanja wa mauaji etihadi ...!@Pain killer
Miaka ya hivi karibuni unakumbuka lini kutufunga kwenye ligi hapo emptyhad?.Na Bado jpili mtajuta kuingia uwanja wa mauaji etihadi ...!
Mtatamani kujificha lakin haitawezekana...View attachment 2136557