man to man intensity ndio udhaifu mkubwa wa manchester united. kuanzia bruno, fred, scott, rashford, maguire, de gea, wan bissaka kwa pamoja wana ugonjwa wa kushindwa kufanya maamuzi sahihi wanapodhibitiwa na adui(pressing). ndio maana tunapocheza na liverpool, man city, chelsea ya tuchel, atletico madrid kipindi cha kwanza tunateseka.