Ni kweli mkuu,fikiria siku hizi Varane anasubir benchi huku maguire akiendelea kutoa boko daily.Sometimes natamani timu kama Man U ingekua inaendeshwa kama timu za Simba na yanga kwenye suala la output.
Tusingekua na Maguire wala wajinga wengine. Hata sosha angetimuliwa zamani.
Hata Chelsea hapo hawacheki na mtu.
Nikiona Maguire anachezea timu kubwa ile na mabeki waliopita upande wake napata hasira.
Plus eti ana ukaptain.
Ralf nae napoteza imani hapa.
Mechi serious, waingereza wawe wawili au mmoja first eleven.
Eti unamsub lindelof unaacha kubwa jinga Maguire.
tena OT ndio mutaliwa kichwa furesh hahahaGame still open,,,
OT tukiwa serious Hawa jamaa tutawatoa !!!!
Ndiyo mpango wetu ila tuna Liverpool na Chelsea hapo. Kuwapita sita ni ngumu kwa mtazamo huu. Chlesea tunamuua ila Liverpool atatusumbua.Arsenal anakuja kama hayupo vile..tutakuja kushangaa tumepitwa point sita.
Sisi pia tuna fixture ngumu ahead..Tuna City na Liverpol muda sio mrefu.Ndiyo mpango wetu ila tuna Liverpool na Chelsea hapo. Kuwapita sita ni ngumu kwa mtazamo huu. Chlesea tunamuua ila Liverpool atatusumbua.
Nyie pia City mnaweza mkambahatisha mkashangaa mmepata kiushindi cha kizushi. Liverpool watawachinjia baharini fasta. Mambo yanabaki pale pale. Muhimu ni hivi vitimu vidogo vilivyobakia. Hivyo lazima vichapwe tu visipate hata sare.Sisi pia tuna fixture ngumu ahead..Tuna City na Liverpol muda sio mrefu.
Kosa lilianza pale Maguire alipopewa unahodha, ili uwe captain lazima uwe regular starter sasa kama makocha hawataki kumvua kitambaa sioni ni kwa namna gani watamuweka bench kwa mechi nyingi mfululizo.Rashford na Maguire kesho wakianza sitaangalia mpira..
Huko unafikiri ni kama bongo au?Tunawasaidiaje wenzetu Chelsea, Tajiri wao amebanwa wataanza kulialia na bakuli kama Yanga View attachment 2130634
Hakuna makaptaini wasaidizi?Kosa lilianza pale Maguire alipopewa unahodha, ili uwe captain lazima uwe regular starter sasa kama makocha hawataki kumvua kitambaa sioni ni kwa namna gani watamuweka bench kwa mechi nyingi mfululizo.
Henderson wa Liverpool kuna kipindi alikuwa anazingua lakini mechi zote alikuwa anaanza halafu haya masuala ya unahodha naona yanaenda sambamba na utaifa.
Mchezaji kama De Gea ndiyo anastahili kuwa nahodha.
Endelea kumuonjea njaa tuSpurs kapigwa, wapinzani wakidrop points hivi katika viporo vyao ni nafuu kwetu kwa mbio za top 4, kipigo cha leo means hata akishinda hizo game mbili zilizobaki bado tunamuacha point 1, tumuombee njaa arsenal na wolves kesho..
Rashford ni nini msimu huu? Completely lost kabisa dogo..
liver naiona sare kabsaNdiyo mpango wetu ila tuna Liverpool na Chelsea hapo. Kuwapita sita ni ngumu kwa mtazamo huu. Chlesea tunamuua ila Liverpool atatusumbua.
Sawa chiefEndelea kumuonjea njaa tu
Rashford Anweza Kuwekw Benchi Lakini Kwa Huyo Mangwea Lazima Acheze Sijui Anapendewa Nn AiseeRashford na Maguire kesho wakianza sitaangalia mpira..
Sasa siungeenda kwenye uzi za maswala ys vita huko kuwasilisha wazo lakoHawa wazungu wa ulaya kama kweli wanawajali wenzao wa Ukraine,wavunje au kusimamisha ligi zao hadi hapo vita vitakapoisha.
Wenzao wanakufa kwa moto wao wako uwanjani wanashangilia halafu wanaishia kutoa maneno ya kulaani tu.