[emoji28][emoji28][emoji28]Kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maguire bwana, huyu amekuwa uchochoro wa goli nyingi tunazofungwa. 70% ya magoli ya kizembe msimu huu yametokana na yeye. Sijui kwanini huwa linapangwa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
goli lile hata usilaumu mtuMaguire ndio ile laana ya Man Utd mabayo De Gea alikuwa anaizungumzia.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23] aliogopa kumtaja tuMaguire ndio ile laana ya Man Utd mabayo De Gea alikuwa anaizungumzia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie mlileta utani yaani maguire mzuri kuliko koulibaly wa napoli...utani huo. Mgelipa tuu zili euro million mia mngekuwa na kitasa wa maanaMaguire bwana, huyu amekuwa uchochoro wa goli nyingi tunazofungwa. 70% ya magoli ya kizembe msimu huu yametokana na yeye. Sijui kwanini huwa linapangwa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Timu halina ata shot on target bwana. Yaani sancho pogba ronaldo sijui yule mpemba rashford hawajaonekana kabisaTim la michongo hili [emoji1787][emoji1787][emoji1787]