Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,416
Salam ziwafikieSpurs ana point 39 na viporoo vitatu meanz akitokea kuwin vyote atakuwa na point 48.Man UTD atashuka chini,Spurs atapanda juu bilA kumsahau gunnerz pia ana viporoo vitatu now ana point 42 akiwin viporoo vyote anakuwa na 51.
Usihesabu mayai ambayo bado kuku hajataga[emoji16] viporo vinaweza chachaSpurs ana point 39 na viporoo vitatu meanz akitokea kuwin vyote atakuwa na point 48.Man UTD atashuka chini,Spurs atapanda juu bilA kumsahau gunnerz pia ana viporoo vitatu now ana point 42 akiwin viporoo vyote anakuwa na 51.
Vlahovic katupia sekunde ya 30 na villarealErling Haaland amefunga magoli 80 ktk michezo 79 Borussia Dortmund (Bundesliga, DFB Pokal, UEFA).
Dusan Vlahovic amefunga magoli 50 ktk michezo 111 Fiorentina na Juventus (Serie A, Coppa Italia, UEFA).
halaf jamaa goli anazofunga ni za maana sio za km za hallandVlahovic katupia sekunde ya 30 na villareal
Kmmk Khaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii komeshaTofauti ya point kati ya man utd na manchester city baada ya michezo 26 kila mmoja ni point 17 tu!
We are among the title contenders again after finding our form.
Huu ni mtizamo wangu,naomba uheshimiwe tafadhali.
Kila kona man utd kwa sisi tulio vaa jezi kila kona tunaitwa kweli dunia ina furahaLeo naona kabisa tukiondoka naushindi wa goal 2 kwa 0 leo.
Ukivaa jezi ya Man utd hata watoto wadogo wakikuona tu wanatabasamu, kweli hii ni timu ya furaha.Kila kona man utd kwa sisi tulio vaa jezi kila kona tunaitwa kweli dunia ina furaha
Subili uone kitakacho wakuta [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Leo naona kabisa tukiondoka naushindi wa goal 2 kwa 0 leo.
Acha kuwashwa nenda kajiongeleshe kwenye jukwaa lenu kule sijui upo peke yako[emoji16][emoji16] unatiaga hadi huruma.Subili uone kitakacho wakuta [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
We zake wako shule had likizo tenaAcha kuwashwa nenda kajiongeleshe kwenye jukwaa lenu kule sijui upo peke yako[emoji16][emoji16] unatiaga hadi huruma.
Yeah,,inabidi awasubiri wafunge shule ili uzi upate hata vipost viwili vitatu.We zake wako shule had likizo tena
Uzi unatia huruma ule auna tofauti na wa PSGYeah,,inabidi awasubiri wafunge shule ili uzi upate hata vipost viwili vitatu.
Sasa subiri mtandikwe uone kama ni siku ya furaha kwenu.Siku ya dunia kuwa na furaha..
GGMU.
Hii game tuimalize palepale wanda metropolitan stadium..