Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkifanikiwa kufika nusu fainali utatupa mrejesho.

Mpaka Jana tumeshafika robo final ,tunaisubili kupewa team nyingine tuisage kwenda nusu final ....!

Mimi binafsi naiona city final CL wew endelea kuteseka na hii nyumbuzi united😂😂😂
 
Kuna mbwa ana Mearson anasema Man Utd ivunje benki imchukue Declan Rice.

Na kuna mipumbavu itafanya hivyo.
 
Manchester United inapocheza dunia yote ina furaha


Kimasihara masihara mechi zote hizo tunashinda na tutamshusha Chelsea hapo alipo.
Halafu habari mbaya zaido kwako United msimu huu kiutani utani inaenda kuchukua UCL.
Ndoto hizi
 
Eti nasikia Maguire na Rashford wanabishia Ronaldo influence in dressing room.

Maguire???

Huu uchafu wa kiingereza sio poa.

Limaguire sura kama korosho,

Nina hasira sana.

Na haka Trashford kazi kutema tema mate kanajifanya kana hisa na timu.

Huu ujinga yote sababu ya kuwa na wamiliki hovyo wasiojua mpira, sidhani huu ujinga utaupeleka kwa Mansour, Ibrahimovic, watu wanaotoa pesa zao alafu unaleta ujinga.
 
Lini tutampa Kocha full control ya wachezaji kama Fergie, akisema huyu hamtaki bodi inamuondoa by kuvunja mkataba au kumuuza, utovu wa nidhamu piga benchi haijalishi we nani?

Kelele kingi unawekwa mbali na wengine.

Makocha wanazidi kuadimika asee, hizi dharau za wachezaji kwa makocha zimezidi, yote kisa klabu kusikiliza wachezaji badala ya kocha.

Eti kambappe hakataki kufanyiwa sub.
Shit.

Pep, Mourinho waishi maisha marefu.

Man city ina wachezaji ambao wangekua man u wangekua full mabishoo, sema kocha kanyoosha wote, ukileta ujuaji piga chini na hakuna pengo lako.
 
Inshu sio full control.Inshu ni matokeo.

Kama kocha ata endelea kupata matokeo mazuri baada ya kuacha kuwajumuisha wachezaji asio wahitaji.Bodi haiwezi kuwa na haja nao tena zaidi ni kuvunja mikataba yao.

Afu kingine kuepusha pressure.

Pressure itakuwa kubwa Kwa kocha ikitokea kwa mastar wa timu hawakujumuishwa kwenye kikosi au wamewekwa benchi na timu bado haipati matokeo.

Pep ndicho kinacho mbeba.
Wachezaji flani hawapangi kwenye kikosi chake lakini bado anapata matokeo na makombe anabeba.
Ivo Ivo ilikuwa Kwa Sir Alex Ferguson
 
Mzee kuanzia kesho dunia italipuka kwa shangwe na vigelegele maana timu ya mioyo ya watu inacheza sio unaona ata mwenyewe hapo keaho kuna ligi lakini kama kuna kamvuto akapo.

Sababu ni moja tu timu ya mioyo ya watu aichezi.
Ingekuwa inashinda ndio watu wangekuwa wanakufa kabisa mkuu.
 
Siyo kukosa bahati hatuna umakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…