Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sikiliza hili boya.

Pambafu sana.
 
Sasa kwanini umtukane Elanga wakati game ilitakiwa kumalizwa mapema?

Kwanini usingewatukana waliokosa manafasi ya wazi?

Sioni ajabu mchezaji kukosa penalt.

Usibebwe na ujinga wa racism.
Huwa siwaelewi watu wanaoponda wachezaji kwa kukosa penati, ile ni sawa na kona, foul n.k sio kila mtu ana ufundi huo, wanarukwa kina Ronaldo na wenzie wanambagua dogo wa watu
 
Flamengo have verbally agreed with #mufc to buy 75% of Andreas Pereira's economic rights. A deal could reach up to €14m. The rest of the deal will be paid in individual and team add-ons #mulive
RR anasafisha, kiukweli natamani sura mpya, damu changa pale OT.. Team imekaa kimazoea zoea sana ile
 
Maradhi mengine mnajitakia wenyewe
Manchester United
inacheza leo na dunia yote ina furaha
 
Raha zikizidi matumbo ujaa mpaka gesi
 
Rooney kama namuelewa hvi

View attachment 2112421
gabriel obertan, antonio valencia na michael owen ulikuwa ni uwekezaji dhaifu kwa timu ambayo imepoteza wachezaji wawili wenye uwezo wa kuchangia magoli 50 kwa msimu kwa pamoja. Pia tokea aliposajiliwa anderson kutoka porto klabu haikufanya uwekezaji mwengine wa kiungo kwa miaka minne ya mbeleni na ilifikia hatua ya kumrudisha scholes. Hata wale graduates kutoka academy hawakuwa na careers zenye matumaini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…