Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Yes,usijekuta demu kapigwa chini akaamua aje na huu mchongo kumuharibia dogo.

Vyombo nadhani vitafanya uchunguzi fresh kuhusu hizi allegations
 
Mkuu audio inapatikana wapi?
 
Mason Greewood ni mfano tosha wa kuanza kuangalia kuwalipa mishahara mikubwa watoto.

Ameshajiona star, amefika levels za kina CR7 anaweza fanya chochote.

Mtu ana hela kama Greenwood analazimishaje sex? Wakati prostitute wapo wengi sana mitandaoni?

Waingereza watamnyoosha hataamini.
 
Kupiga mwanamke mpaka kufika hizo levels hata ukiwa mtu wa kawaida lazima sheria zikunyooshe vibaya mno, hata iwe huku Afrika.

Kwanza kupiga mwanamke mpaka damu zinatoka unakuwa umefika mbali sana. It's inhuman.

Kama mnashindwana basi temaneni tu na sio kufika hadi kutoa damu. Manake ukiua ndo jela maisha.
 
Rejea na ile kauli ya Ronaldo, wachezaji wa siku hizi ni viburi na jeuri, hawaelezeki.. sasa uki - relate why alisema pengine hii ni picha iliyokuwepo. Greenwood amelalamikiwa sana suala la nidhamu kile kitendo cha yeye na Foden kilikuwa cha hovyo sana atleast Foden alitulia na hii nadhani ni ukali wa Guardiola kumweka sawa, Ole alikuwa anakinga kifua tu
 
Mkuu Greenwood pia hakucheza Man U baada ya hio incident. Ole alimpiga bench
 
Mkuu Joh ebu tia nyama hapo kwa mademu wa thailand, i mean wana nini zaidi ili siku ikitokea na sisi twende kutalii uko thailand
 
Alipoanza kujichora chora tu nikajua kwisha habari yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…