Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,062
- 43,489
Aisee nimeiona hii, Shocking, dada amepost pia audio akibakwa.Mason Greenwood, inawezekana akakumbana na yaliyomkuta Benjamin Mendy......Ex girlfriend wake amepost hizo video, audio clips za jamaa na picha za kuvimba ngozi kuwa jamaa alimpiga akimlazimisha sex kunaweza kuwa na charging of rape kwa mason.....
Mchezaji aliekuwa mzuri, anapotea... Finally atakaa sub sasa kama sio jela View attachment 2100854View attachment 2100855
Hahah! Wakati naandika comment yangu nili-relate suala la Greenwood na Chris Brown ila sikutaka tu kutaja mifano kwa majina. Ila kiukweli Chris Brown ndiyo mfano mzuri wa kinachoweza kumkuta Greenwood.Chris Brown mpaka leo kashfa ile inamu hunt, dogo amepotea kabisa aisee
Akikutwa na hatia atakuwa amejiharibia katika carrer yake. United ingempa mambo mengi sana katika maisha yake: money, fame, trophies..... Vyote hivyo kavipiga teke.Inawezekana wakamsimamisha na wakamtoa katika picha zote za kibiashara [promotions etc],
Inawezekana pia, akikutwa na hatia wakavunja mkataba wake.
Aliambiwa sana afocus na soka toka suala lake na phoden kwenye kambi ya England....ila naona aliweka pembeni shauri zote.
kiukweli simtetei Greenwood, ila haya mambo yasikieni tu, pengine mwanamke anafanya maksudi kabisa akiwa na malengo yake, mpaka anaamua kurekodi kila kitu hili apate ushahidi, huwezi jua, ukisha kuwa maarufu inakubidi uishi kwa umakini sana, hasa suala la wanawake, uzuri ni kwamba wenzetu wanafuata misingi ya sheria, tusubiri kila kitu kitakuwa wazi.Aisee nimeiona hii, Shocking, dada amepost pia audio akibakwa.
Utovu wa nidhamu sio mara ya kwanza kwa Greenwood....aliwahi kuingiza wanawake kwenye kambi ya England akiwa na Phoden wa City....kiukweli simtetei Greenwood, ila haya mambo yasikieni tu, pengine mwanamke anafanya maksudi kabisa akiwa na malengo yake, mpaka anaamua kurekodi kila kitu hili apate ushahidi, huwezi jua, ukisha kuwa maarufu inakubidi uishi kwa umakini sana, hasa suala la wanawake, uzuri ni kwamba wenzetu wanafuata misingi ya sheria, tusubiri kila kitu kitakuwa wazi.
Inavyoonyesha ni tabia ya Greenwood kumpiga ndiyo akategewa siku akarekodiwa maana kuna mpaka picha za toka 2020. Pia ukisikiliza sauti zao ni dhahiri Greenwood alikuwa kashatoa silaha ya maangamizi maana demu anasikika akisema "usiweke silaha yako karibu na mimi" sasa kama huwa anampiga mpaka anamtoa damu inawezekana kitendo cha mwisho ilikuwa ni ubakaji.kiukweli simtetei Greenwood, ila haya mambo yasikieni tu, pengine mwanamke anafanya maksudi kabisa akiwa na malengo yake, mpaka anaamua kurekodi kila kitu hili apate ushahidi, huwezi jua, ukisha kuwa maarufu inakubidi uishi kwa umakini sana, hasa suala la wanawake, uzuri ni kwamba wenzetu wanafuata misingi ya sheria, tusubiri kila kitu kitakuwa wazi.
Kuna comment nilisoma IG, jamaa anasema "Pass the ball? How about you pass the files to your lawyer"Form yake yenyewe sahizi inatia shaka, sehemu za kutoa pasi anapiga mchoyo mchoyo, decision making ni sifuri,.....
Ofcourse mkuu sheria itafuata mkondo, ipo small chance anasingiziwa ila kuna zaidi ya asilimia 90 ni yeye, kama mkuu Tanayzer alivyosema baada ya msimu wa kwanza wa Greenwood aliondolewa Timu ya Taifa, na tetesi zilikuwa ni wanawake, hata Man U hakuwa akipangwa na Ole, hivyo kuna kitu wao walikuwa wanajua ila hawakutuambia.kiukweli simtetei Greenwood, ila haya mambo yasikieni tu, pengine mwanamke anafanya maksudi kabisa akiwa na malengo yake, mpaka anaamua kurekodi kila kitu hili apate ushahidi, huwezi jua, ukisha kuwa maarufu inakubidi uishi kwa umakini sana, hasa suala la wanawake, uzuri ni kwamba wenzetu wanafuata misingi ya sheria, tusubiri kila kitu kitakuwa wazi.
Phoden ndio Nan wewe ,andika majina ya watu vzuri ...Utovu wa nidhamu sio mara ya kwanza kwa Greenwood....aliwahi kuingiza wanawake kwenye kambi ya England akiwa na Phoden wa City....
Pia hata huyo dada anaemtuhumu now, ameambatanisha picha hadi za 2020 kumaanisha jamaa tabia hiyo kaanza muda mrefu na hiyo voice note probably ni yake......pesa nyingi sana inawezatumika kuweka sawa au akapotea kama kina Adam johnson [adam johnson alikuwa winga mzuri sana]
Sawa mkuuPhoden ndio Nan wewe ,andika majina ya watu vzuri ...
David ornstein naona kathibitisha hii mkuu....ni deal zuri, ngoja akapambane huko apate game time...Donny van de Beek to Everton
Dogo anapenda papuchi kupindukia..Inawezekana wakamsimamisha na wakamtoa katika picha zote za kibiashara [promotions etc],
Inawezekana pia, akikutwa na hatia wakavunja mkataba wake.
Aliambiwa sana afocus na soka toka suala lake na phoden kwenye kambi ya England....ila naona aliweka pembeni shauri zote.
Na chris brown alimpiga black..Hahah! Wakati naandika comment yangu nili-relate suala la Greenwood na Chris Brown ila sikutaka tu kutaja mifano kwa majina. Ila kiukweli Chris Brown ndiyo mfano mzuri wa kinachoweza kumkuta Greenwood.