D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
Mkuu hawa wachezaji wakubwa inabidi uende nao hivyoHana ubavu wa kumweka Ronaldo nje..
Kitendo cha kumuomba msamaha tu juzi baada ya kumpiga sub kinaonyesha hajiamini kiasi hicho tunachodhani.
Kocha kama Mourinho au Pep akikupiga sub na ukakarisika hadi kutaka kungoa kiti haangaiki na wewe.
Ujio wa Varrane wengi wetu humu tuliamini Lindelof angekosa namba lakini mimi nilijua Maguire hana ubora wowote wa kumweka benchi Lindelof.Bora zee magwaya limepigwa bechi mpaka akili ilikae sawa pambafu.View attachment 2088537
Mkuu kuna improvement lakini dogo anapoteza pass nyingi sana.Kuna improvement fulani kwa Scot Mctominay namuona anaongeza aggressiveness na passing accuracy going foward.
Nakumbuka hili ulisema tangu mwanzo. Wengine waliona linderlof anaenda kukosa namba.Ujio wa Varrane wengi wetu humu tuliamini Lindelof angekosa namba lakini mimi nilijua Maguire hana ubora wowote wa kumweka benchi Lindelof.
Sasa tumeshuhudia Lindelof kawa chaguo la kwanza la Ralf
Mimi nimeona improvement going forward.Mkuu kuna improvement lakini dogo anapoteza pass nyingi sana.
Bila yeye na fred kuboresha upigaji pass hatutakaa tumiliki mchezo kama anavyotaka Ralf.
Mimi kilichokuwa kinanikera kwa Victor mwanzo alikua soft sana ila kwa sasa hivi yeye ndio mlinzi bora tuliyenaye hata kitambaa cha unahodha kinaweza kumfaa sana.Ujio wa Varrane wengi wetu humu tuliamini Lindelof angekosa namba lakini mimi nilijua Maguire hana ubora wowote wa kumweka benchi Lindelof.
Sasa tumeshuhudia Lindelof kawa chaguo la kwanza la Ralf
Na yule Antonio, sijuiMimi kilichokuwa kinanikera kwa Victor mwanzo alikua soft sana ila kwa sasa hivi yeye ndio mlinzi bora tuliyenaye hata kitambaa cha unahodha kinaweza kumfaa sana.
Kuna kitu kikubwa uliwahi kusema kipindi kile tukiwa na mjadala wake ambacho ni anajua kuficha makosa ya wenzie. Ukiangalia vizuri safu yetu ya ulinzi kuna makosa mengi ya hovyo wanayafanya Varane na Maguire ila akiwepo Lindelof huwa anayaziba sana.
Maguire sitaki hata kumzungumzia ujinga wake ni kipawa ila Varane bado sijaona ubora wake ambao niliutegemea anafanya makosa ya kizembe zembe ambayo yametugharimu magoli gemu za hivi karibuni. Hata kesho sina imani sana bila Lindelof pale nyuma.
Varane bado aisee..Tunategemea more solid perfomance,sio kama anavyoperfom kwa sasa.Mimi kilichokuwa kinanikera kwa Victor mwanzo alikua soft sana ila kwa sasa hivi yeye ndio mlinzi bora tuliyenaye hata kitambaa cha unahodha kinaweza kumfaa sana.
Kuna kitu kikubwa uliwahi kusema kipindi kile tukiwa na mjadala wake ambacho ni anajua kuficha makosa ya wenzie. Ukiangalia vizuri safu yetu ya ulinzi kuna makosa mengi ya hovyo wanayafanya Varane na Maguire ila akiwepo Lindelof huwa anayaziba sana.
Maguire sitaki hata kumzungumzia ujinga wake ni kipawa ila Varane bado sijaona ubora wake ambao niliutegemea anafanya makosa ya kizembe zembe ambayo yametugharimu magoli gemu za hivi karibuni. Hata kesho sina imani sana bila Lindelof pale nyuma.
Acha ushabiki Mzee Kwahyo unasema Mendy hajawahi kufanya saves ..Ila n mabeki ndo wanazuia??!!Kipa hupimwa kwa kazi kama hizo, sio kipa anasifiwa kwa juhudi za mabeki kama yule msenegal.