Mimi binafsi nnashangaa hizi chuki zote kwa Ronaldo zinatokea wapi?Ronaldo hawezi kuanzia bench. Yani mpaka Ronaldo anasaini mkataba bila shaka moja ya vitu wamezingatia ni yeye kupata muda wa kutosha kucheza hata mshahara wake ni wa mtu anayetakiwa kucheza.
Mimi naamini Ronaldo kuwa chini ya kiwango inachangiwa na wachezaji wanaomzunguka. Ronaldo huyuhuyu ukimpeleka City utatamani awe kwenye timu yako. Manchester United matokeo yake mengi yanaamuliwa na individual brilliance na siyo kama team rejea mechi za UCL mpaka tulipofika ni kwasababu ya Ronaldo.
Kama Manchester United ingekuwa inacheza jinsi a proper football club should play usingeona madhaifu ya Ronaldo au kusingekuwa kabisa na huu mjadala. Kucheza kama team ni pamoja na kufukia makosa ya mwenzio na hicho kitu tunakikosa. Club kama Leeds au Brentford zina average players wengi lakini wanacheza kwa umoja.
So boss unaona sawa mchezaji kuwa juu ya timu na kuharibu timu nzima?Mnachekesha sn, ni kwamba hamjui mpira au kiburi tu, cr7 na Messi impact zao zilishatoka uwanjani now zipo kwenye timu nzima, fans hawataki kusikia kuhusu hao wachezaji wawili whether wacheze vzr au vby unatakiwa kuwabembeleza mana wanapochukia wao unaweza kuharibu ari ya timu, hilo mtake msitake liko hivyo na haliwezi kubadilika.
Kuna mtu pia atasema hata Maguire au Fred wakienda City watacheza vizuri..Ronaldo hawezi kuanzia bench. Yani mpaka Ronaldo anasaini mkataba bila shaka moja ya vitu wamezingatia ni yeye kupata muda wa kutosha kucheza hata mshahara wake ni wa mtu anayetakiwa kucheza.
Mimi naamini Ronaldo kuwa chini ya kiwango inachangiwa na wachezaji wanaomzunguka. Ronaldo huyuhuyu ukimpeleka City utatamani awe kwenye timu yako. Manchester United matokeo yake mengi yanaamuliwa na individual brilliance na siyo kama team rejea mechi za UCL mpaka tulipofika ni kwasababu ya Ronaldo.
Kama Manchester United ingekuwa inacheza jinsi a proper football club should play usingeona madhaifu ya Ronaldo au kusingekuwa kabisa na huu mjadala. Kucheza kama team ni pamoja na kufukia makosa ya mwenzio na hicho kitu tunakikosa. Club kama Leeds au Brentford zina average players wengi lakini wanacheza kwa umoja.
Kuna watu hawaelewi asee.Kuna mtu pia atasema hata Maguire au Fred wakienda City watacheza vizuri..
Tusitafute excuses nyingi..
Udhaifu wa Ronaldo ni kwenye general link-up play..kashachoka..tukiukataa huu ukweli tutakuwa tunafanya makosa makubwa.
Case ya Ronaldo na Maguire au Fred ni vitu tofauti kabisa. Ni rahisi offensive player ku-perform vizuri kulingana na mfumo au aina ya wachezaji anaocheza nao. Defensive player kama hajui vitu basics tu hata umpeleke wapi atashindwa ku-improve performance yake.Kuna mtu pia atasema hata Maguire au Fred wakienda City watacheza vizuri..
Tusitafute excuses nyingi..
Udhaifu wa Ronaldo ni kwenye general link-up play..kashachoka..tukiukataa huu ukweli tutakuwa tunafanya makosa makubwa.
Next season kama atakuwepo basi inabidi awe mtu wa kucheza dakika 20 na mechi chache..Tutafute proper no9 mwenye quality zote.
Sasaaa, wewe unaona mfumo wa kocha unaruhusu kuwa na mchezaji aina ya Ronaldo, nimemsikia anazungumzia mambo ya counter attach, unamuona Ronaldo ana counter attach?Case ya Ronaldo na Maguire au Fred ni vitu tofauti kabisa. Ni rahisi offensive player ku-perform vizuri kulingana na mfumo au aina ya wachezaji anaocheza nao. Defensive player kama hajui vitu basics tu hata umpeleke wapi atashindwa ku-improve performance yake.
Ronaldo bado ni mshambuliaji mzuri ila kuna baadhi ya vitu haviwezi tena kama kuendana na speed ya mchezo, kumiliki mpira n.k. sasa kwa timu kama United lazima aonekane mzigo ila akienda timu kama Man. City kwa style yao ya uchezaji Ronaldo lazima ata-shine.
Man. City sifa zao kuu ni kumiliki mpira, kushambulia pamoja na kutengeneza nafasi nyingi za kufunga. Ronaldo ni mtegeaji mzuri anajua kuji-position ndiyo maana magoli yake mengi ni ya tap in (haters wake hawapendi hii) sasa jiulize kwenye mechi ya juzi first half ulitaka Ronaldo afanye nini uwanjani kama viungo na mawinga wanashindwa kutengeneza nafasi za kufunga kwa mshambuliaji wao. I don't expect anything from Ronnie zaidi ya kufunga, kwa age yake na kikosi anachocheza nacho hakimpi nafasi nyingi za kucheka na nyavu.
Hivi asikae yeye nani?Kama Ronaldo anachukia kutolewa dakika ya 70 tu ya mchezo ataweza kukaa bechi mechi mbili na yupo fiti kweli ?.
City Ronaldo atashine vipi mkuu?..Case ya Ronaldo na Maguire au Fred ni vitu tofauti kabisa. Ni rahisi offensive player ku-perform vizuri kulingana na mfumo au aina ya wachezaji anaocheza nao. Defensive player kama hajui vitu basics tu hata umpeleke wapi atashindwa ku-improve performance yake.
Ronaldo bado ni mshambuliaji mzuri ila kuna baadhi ya vitu haviwezi tena kama kuendana na speed ya mchezo, kumiliki mpira n.k. sasa kwa timu kama United lazima aonekane mzigo ila akienda timu kama Man. City kwa style yao ya uchezaji Ronaldo lazima ata-shine.
Man. City sifa zao kuu ni kumiliki mpira, kushambulia pamoja na kutengeneza nafasi nyingi za kufunga. Ronaldo ni mtegeaji mzuri anajua kuji-position ndiyo maana magoli yake mengi ni ya tap in (haters wake hawapendi hii) sasa jiulize kwenye mechi ya juzi first half ulitaka Ronaldo afanye nini uwanjani kama viungo na mawinga wanashindwa kutengeneza nafasi za kufunga kwa mshambuliaji wao. I don't expect anything from Ronnie zaidi ya kufunga, kwa age yake na kikosi anachocheza nacho hakimpi nafasi nyingi za kucheka na nyavu.
Ronaldo huyu naona ni mtu ambaye atafurahi akifunga hatrick lakini tukapoteza kwa 4-3...jamaa inaonekana wazi anajiangalia yeye tu.Sasaaa, wewe unaona mfumo wa kocha unaruhusu kuwa na mchezaji aina ya Ronaldo, nimemsikia anazungumzia mambo ya counter attach, unamuona Ronaldo ana counter attach?
Anazungumzia intensity, being physical etc, unaona Ronaldo anahizo profiles? sasa kwa nini apangwe?
mimi nimekuelewa kwenye issue ya kwamba mkataba unataka lazima apangwe, tena labda unasema lazima acheze dakika tisini (sababu sio kwa kung'aka kule): sasa kama anaona masharti ya mkataba yanakiukwa basi achukue maamuzi?
na kama ni issue ya mshahara, nadhani we can afford the losses, akae benchi. Akae pale benchi mpaka atie akili, Kocha akiona akili yake inatengemaa, kuanzia beheviour mpaka kujiprofile na mfumo wa kocha, ampange, no problem.
lakini mimi ningependa sana kusikia kaambiwa anakaa bench kwa sababu ana negative characters, tena awekwe chini ya uangalizi wa wale masaikologists.
Aaambiwe, kwa sababu ile ni timu, how he relates with his colleagues ni very important kuliko yeye kufunga, aonyeshwe na namna tumefunga goli tano in past two matches na hakufunga yeye.
Hakuna mchezaji atafanikiwa pale Utd kwa ss, alafu mashabiki wa Utd wa cku hz wamekuwa hovyo sn hawakubaliani na kila mchezaji, huu ujinga ndio tunaenda nao kwa ss, hizo ndio tabia za cr7, yuko hivyo miaka yote.Kuna mtu pia atasema hata Maguire au Fred wakienda City watacheza vizuri..
Tusitafute excuses nyingi..
Udhaifu wa Ronaldo ni kwenye general link-up play..kashachoka..tukiukataa huu ukweli tutakuwa tunafanya makosa makubwa.
Next season kama atakuwepo basi inabidi awe mtu wa kucheza dakika 20 na mechi chache..Tutafute proper no9 mwenye quality zote.
Mimi nakubaliana kabisa na mnachosema mchango wa Ronaldo kwa timu ni mdogo ila kama mlivyoona wenyewe juzi mpaka kocha imebidi amfuate kuongea naye hiyo ni wazi bado ataendelea kumtumia Ronaldo hata kama hamhitaji kwenye mfumo wake kwasababu tayari kuna mambo Ronaldo ameahidiwa na ni lazima yatimizwe. Kuwa-manage Ronaldo au Messi ni kazi sana kwasababu utakapowaweka bench ni watu wengi hawatakuelewa ila bado nasema United haichezi vizuri kama timu na siyo shida ya Ronaldo peke yake.Sasaaa, wewe unaona mfumo wa kocha unaruhusu kuwa na mchezaji aina ya Ronaldo, nimemsikia anazungumzia mambo ya counter attach, unamuona Ronaldo ana counter attach?
Anazungumzia intensity, being physical etc, unaona Ronaldo anahizo profiles? sasa kwa nini apangwe?
mimi nimekuelewa kwenye issue ya kwamba mkataba unataka lazima apangwe, tena labda unasema lazima acheze dakika tisini (sababu sio kwa kung'aka kule): sasa kama anaona masharti ya mkataba yanakiukwa basi achukue maamuzi?
na kama ni issue ya mshahara, nadhani we can afford the losses, akae benchi. Akae pale benchi mpaka atie akili, Kocha akiona akili yake inatengemaa, kuanzia beheviour mpaka kujiprofile na mfumo wa kocha, ampange, no problem.
lakini mimi ningependa sana kusikia kaambiwa anakaa bench kwa sababu ana negative characters, tena awekwe chini ya uangalizi wa wale masaikologists.
Aaambiwe, kwa sababu ile ni timu, how he relates with his colleagues ni very important kuliko yeye kufunga, aonyeshwe na namna tumefunga goli tano in past two matches na hakufunga yeye.
Man U bana, kila siku drama.Rangnick:
"He [Sancho] didn't train yesterday because he still asked us to not train. He attended a funeral on Wednesday, it still affected him quite a lot, he is expected back to training this afternoon at three o'clock."