Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,409
Walivyokosa tu kuwa clinical nkajua watakufa wao. Mpira wa siku hizi ukipata nafasi uipozitumia subiri kulizwaNi ama Brentford hawakua serious mbele ya goli au De Gea amekua serious na kazi yake.
One vs one mbili na zote akaziblow up yule jamaa.Walivyokosa tu kuwa clinical nkajua watakufa wao. Mpira wa siku hizi ukipata nafasi uipozitumia subiri kulizwa
Huyu jamaa haoti kabisa kucheza Europa, nadhani ndomaana kwenye mechi za UEFA huwa anapambana sana kufunga.Cristiano Ronaldo's representatives have told Manchester United that the 36-year-old Portugal forward will look to leave Old Trafford in the summer if the club fail to qualify for next season's Champions League. (Sun)
Wala asitamani, akisepa United timu inayoweza kumpokea ni Sporting.
Timu yeyote inayofanikiwa ndani ya uwanja inahitaji kocha aina hiyo.Maamuzi magumu ya RR ndio kitu pekee tulikosa katika utawala wa Ole.
Na kwa maamuzi hayo naamini media za uingereza zitamkalia kooni sana.
I told you Ralf, Bench this guy ... you didn't pay heed, see how he misbehaved and got you embarrassed?? Imagine, if his egocentric behavior can make a whole coach apologize, in how many bad ways his behavior is affecting the poor struggling players.
aweke pamba masikioni. Ronaldo hakutakiwa kuingia uwanjani kabisaMaamuzi magumu ya RR ndio kitu pekee tulikosa katika utawala wa Ole.
Na kwa maamuzi hayo naamini media za uingereza zitamkalia kooni sana.
Ronaldo abaki kufanya nini?Wanaopaswa kuuzwa kuanzia dirisha dogo mpaka kubwa.
BAILLY
JONES
MATA
LINGARD
PEREIRA
MATIC
MARTIAL
CAVANI
Wengine wanaobaki hawana shida sana lakini lazima waletwe watu wenye uwezo zaidi ya tulionao kwenye maeneo haya:
DM (January)
ST
CB
RB
LW
Nategemea a busy summer transfer window, tupate watu siyo chini ya wanne lakini kati yao isiwe ni eneo la DM, eneo hilo linataka marekebisho mapema kabisa dirisha hili.
Ninaamini hatarudia kosa la kumpanga Ronaldo.✓Jana kikosi chetu kilichoanza kilikuwa na waingereza wawili tu..good.
✓Bado wachezaji wetu hawawezi kucheza kwa intensity na high physicality..dakika za mwanzo za game ya jana ni ushahidi.
✓McTominay inabidi awe anacheza kama alivyocheza jana..Fred anatoa assist game ya tatu hii mfululizo lakini aisee amedrop sana..kiufupi kiungo chetu bado sana.
✓Telles na Dalot ni wazuri kiasi tofauti na Shaw na AWB..but bado hawajafika level tunayoitaka.
✓Maguire,Sancho,Rashford,Shaw on the bench..waingereza na media zao moto utawaka very soon.
✓Ralf Rangnick kumuelezea Ronaldo kwa nini amemfanyia substitution ni ujinga mtupu..alitaka nani atoke??..huu ni udhaifu.
Ronaldo alikuwa anafanya nini?Mpaka kipindi cha kwanza kinaisha Man U hatuna shut on target hata moja.
Timu inakatisha tamaa sana, yaani bila ya juhudi binafsi za kipa inawezekana kwenye msimamo tungekua hata kwenye nafasi ya 15 huko.
Volatility naona legend wetu anakukwaza sana aisee.Ronaldo alikuwa anafanya nini?
Sasa kuna timu inayoiogopa mwanitesa yunaitedi siku hizi?labda yangaVolatility naona legend wetu anakukwaza sana aisee.
Kwa kiasi fulani nakuunga mkono kwa kuwa RR anahitaji pressing kuanzia mbele,basi Ronaldo ni aidha aingie dakika za majeruhi tukishashinda au awe na baadhi ya mechi ambapo opponents watatuogopa tangu dakika ya kwanza.