Kocha Hana ujanja,UWEZO wake umeishia hapoo.Uwezo alio nao ni kuongea TU mambo mazuri ambayo kiuhalusia hayaonekani.Timu lina waingereza 6 kwenye 1st eleven unategemea nini!?
Mwendazake sajili zake ni waingereza tu pumbavu yule
Halaf anatokea mtu anamlaumu kocha aliekaa na timu mwezi mmoja wakat kuna kenge aliharibu timu kwa miaka mi3
Mkumbuke hata klop alipoichukua Livakuku ya akina Lalana haikua inacheza hv tunavyoona leo
Kocha yoyote anapoingia kwenye timu anahitaji muda kusajili wachezaj wataoendana na mfumo wake, ndo maana tunamlaumu Ole kwasabab alipewa vyote muda na fedha lakin ndo kwanza timu imerudi nyuma badala ya kuimprove.
Umeongea ukweli mtupu mkuu. Ushahidi wa hilo ni usajili wa Ronaldo.Hii team sio ya kushabikia sasa hivi.
Ole alikua manager mzuri na tactics nzuri tatizo ni muundo wa club nzima.
Usajili wa wachezaji unaangalia mauzo ya jezi na ticket. Ndomana majina ya wachezaji wanaokua scouted hua yanavujishwa hata miezi 6 kabla ya deals kukamilika.
Pressure inakua kubwa kwa wachezaji kuperform, akicheza game moja vibaya ndo basi tena.
Ndomana Ole alikua analinda wachezaji, they were set to fail in an environment which was supposed to make them thrive.
Having said this, nimeacha kufuatilia united baada ya Ole kuachishwa kazi.
Hakuna ambalo bodi ya united na management nzima inaweza kufanya sasa hivi kuwa washindani wa Man City.
Kuendelea kushabikia united sasa hivi ni kujitafutia uwendawazimu.
Ole was a good manager, kama unabisha kumbuka ilivokua raha kwenda kuangalia game misimu miwili iliopita, je raha hiyo ulikua nayo kipindi cha Jose au unayo leo?
Niendelee kufanya mishe zangu, labda ntaanza kuifatilia tena united baada ya miaka mitano au 10.
Wasalaaam.
kwaio wanasajili machnga wauza jez na kuacha wachezaj wazuri[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]Umeongea ukweli mtupu mkuu. Ushahidi wa hilo ni usajili wa Ronaldo.
Bodi iliangalia kuuza jezi na kumzuia Ronaldo asiende city.
Vip TT? ALISAJIRI KWANI?Timu lina waingereza 6 kwenye 1st eleven unategemea nini!?
Mwendazake sajili zake ni waingereza tu pumbavu yule
Halaf anatokea mtu anamlaumu kocha aliekaa na timu mwezi mmoja wakat kuna kenge aliharibu timu kwa miaka mi3
Mkumbuke hata klop alipoichukua Livakuku ya akina Lalana haikua inacheza hv tunavyoona leo
Kocha yoyote anapoingia kwenye timu anahitaji muda kusajili wachezaj wataoendana na mfumo wake, ndo maana tunamlaumu Ole kwasabab alipewa vyote muda na fedha lakin ndo kwanza timu imerudi nyuma badala ya kuimprove.
Wakat mwingine unaweza ukabahatika kurithi kikosi kizuriVip TT? ALISAJIRI KWANI?
Jones ni better than everyone at the backso far, jones is better than maguire, thats my view
Utaacha lini upungalism [emoji3]Pesa ya usajili utatoa wewe au unaropoka tuu
Peter Drury:
Glory days are old, trophies are old, best players are old, the coach is old. It's Old Trafford[emoji1787][emoji23]