Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ha ha umetisha sana mkuuuu
 
Kwa kikosi cha Manchester united kilivyo na wachezaji waliopo hawaitaji hata kocha kushinda mechi wallahi ni wavivu tu na kocha anataka formation ambazo hamna mchezaji wa kucheza hapo game yake ya kwanza tulicheza vizuri sana arudi tu na 4,3,2,1.
Pale kati tupo uchi sana ndo mana hata kumiliki mpira ni shida kuweka mbele wale jamaa wawili sio sawa pia akae mmoja tu maana wale umri umeenda wanaoffer magoli tu.
 
Hata cr7 acha utani wew mkuu
 
Darmian mbona umefunguka sana mkuuu timu mbovu hiii
 
s mlisemaga bissaka ndo bek anaepiga tackling ad kwenye boks uyu au
nyumbu kinachowaponzaga ni kuwa na overexpectation
 
kos la dunia mara ooh tunatim nzuri kuliko zote pale ni kocha2 mpaka saiv mnaona amna kocha amna wachezaj tim zima limejaa takataka
 
Ronaldo ni mzigo,tangu atue pale timu Imekuwa ikicheza ovyooo
 
Bora carrick angeendelea ambaye anaijua Ligi vizurii kuliko huyo choko ALIE tokea uchochoroni huko
 
Timu lina waingereza 6 kwenye 1st eleven unategemea nini!?
Mwendazake sajili zake ni waingereza tu pumbavu yule
Halaf anatokea mtu anamlaumu kocha aliekaa na timu mwezi mmoja wakat kuna kenge aliharibu timu kwa miaka mi3
Mkumbuke hata klop alipoichukua Livakuku ya akina Lalana haikua inacheza hv tunavyoona leo
Kocha yoyote anapoingia kwenye timu anahitaji muda kusajili wachezaj wataoendana na mfumo wake, ndo maana tunamlaumu Ole kwasabab alipewa vyote muda na fedha lakin ndo kwanza timu imerudi nyuma badala ya kuimprove.
 
Ronaldo kaisha hamna kitu anajua kupiga back pass tu kocha atemane naye toka aje team imekosa balance
 
Tusajili striker kijana awe tegemezi Ronaldo wakat umeisha jua lishazama
 
Toa magoli aliyoscore mngekua wapi?
Hiyo Sio shidaa,Hata alipo kuwa hayupoo kwani timu ilikuwa hai score??? Fatilia tangu aanzee kuchezaa timu imeeanza kuyumbaa .Huo ndo ukweli.Hata kama asingekuepoo wengine wangescore.Mbona msimu umeisha bila yeye na timu imemaliza nafasi nzurii...??



Ronaldo ni mzigoo Man UTD hata Allegri alikiri kina Morata,Dyabala kipindi Yuko Juventus
 
Nimecheka hapo kwenye captain mlevi hahaahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…