Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Aisee hii timu ina shida kubwa sana, ni aibu wachezaji wa Manchester United wanashindwa kupiga hata simple passes ndiyo sababu hatuwi threat kwenye lango la Wolves.

Hii mechi tunamhitaji Bruno Fernandes mapema ipasavyo.
 
Makocha ndio shida kubwa hapa. Bruno, Rashford, Fred kama hawaumwi na wameanzishiwa tu benchi makusudi, huyu RR atafukuzwa mapema sana.
RR hawezi kufukuzwa kama asipowaridhisha ma-boss anakula mkataba wake kama mshauri wa timu kama walivyokubaliana.
 
tunacheza ovyo sana hata pasi 5 tunashindwa.....kule mbele ndio kabisa yani move za magoli zikianza basi limoja linapiga pasi za ovyo....

Pasi hatuwezi, position hatuna kiasi kwamba magap meng sana ndani ya timu....

Hivi ndo tulitegemea nasisi tuchukue champions league, kwa tunavyocheza hatufiki popote
 
Makocha ndio shida kubwa hapa. Bruno, Rashford, Fred kama hawaumwi na wameanzishiwa tu benchi makusudi, huyu RR atafukuzwa mapema sana.
Tumebadili makocha wangapi mkuu na mambo yale yale. Huyo bruno nae akiingia yale yale siku hizi kachuja fred ndo kabisa.
 
Pia ronaldo na cavani kule mbele ni sawa na tunacheza gombania goli striker mmoja anatosha....

Ronaldo mvivu mvivu hivi, anatusaidia lakini anatupotezea muda kama tunataka tufike mbali
sio mvivu ni kwamba creativeness level is dropping kwa kasi sana
 
Pia ronaldo na cavani kule mbele ni sawa na tunacheza gombania goli striker mmoja anatosha....

Ronaldo mvivu mvivu hivi, anatusaidia lakini anatupotezea muda kama tunataka tufike mbali
Mkuuu leo CR7 MAGOL AMEKUWA ANAWAPOTEZEA MUDA HA HA SUBILI JUA LICHOMOZE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…