I am not being emotional, I am just offering Ronaldo a fair assessment, He is doing more harm to the team than good. Ni mchezaji anayelalamikia wenzake dakika 70/90 za mchezo wakati sincerely yeye ndiye aliyepeswa kulalamikiwa.
Ronaldo ni sababu kubwa ya kiwango cha mpira cha timu kushindwa kuimprove consistently hata baada ya ujio wa RR sababu wakiingia tu uwanjani anataka kuattract attention ya timu nzima, anawasababishia wachezaji kigugumizi wakiwa na mpira, wapige kwa mchezaji aliyejiposition au wapige kwa Ronaldo, matokeo yake hata yeye mwenyewe hapatiwi quality passes.
wewe unaangalia magoli anayofunga mimi naangalia contribution yake to the timu, naangalia anachofikiria na namna anavyo affect an entire timu.
I wish one of these days aanzie benchi.