Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Harafu nyie wahuni wa united mwaka wa kumi Sasa hamna PL ,Jana mkaenda nyumbani kwa cancelo kuiba medal zake za PL ,acheni uhuni
Mkuu tuwaachie police
waendelee na uchunguzi wa tukio.
Cancelo amekutana na wahuni tu wa jiji wakijipambania kutafuta hela ya pombe katika mkesha wa mwaka mpya.
Kuwahusisha mashabiki wa United na tukio la Cancelo kupigwa ngeta ni ukosefu mkubwa wa adabu kwa sisi wakazi wote wa jiji la Manchester.
 
Nacheki Arsenal wanavyocheza hapa..nabaki na conclusion kuwa wachezaji wetu wengi hawana control wala compusure.
Wamezoeshwa hivyo mkuu kwa miaka 3. Hivyo hawajui wafanye nini hata wakiwa na mpira....recall pale tulipokuwa tunalalamika kuwa Man u ya ole haiwezi piga hata pasi 10 kwa mkupuo zikafika zote.....

Ila shida yetu naona ni midfield na kocha wetu kama anauono mkubwa ataanza na hiyo nafasi kama pogba akiondoka atachukua viungo wazuri 2 mmoja pure defensive, mwingine awe Central midfielder mwenye nidhamu ya mpira kuliko paul pogba.

Pia kocha apewe mamlaka kama ya Arteta kumuweka benchi Auba....aruhusiwe kuwa na maamuzi as long as ahakikishe timu inafanya vizuri....

Kocha akipewa mamlaka wachezaji watakuwa na nidhamu na kujituma.....maana hata Ferguson alikuwa anademand nidhamu ndio maana tukafika alipotuacha Rud Van vernesteroy aliuzwa sababu ya ubibafsi na beef na ronaldo, Roy keane aliuzwa akiwa vizuri tu, Beckham. Jap stam,

pia wachezaji kibao walikaa benchi hata mwezi mzima au miwili kisa makosa ya kitoto mfano kina Evra, ferdinand, rooney etc

Ralf anavyoongelea hili dirisha kuna kitu alisema kuwa anaangalia dirisha kubwa kuliko dirisha dogo however kama mchezaji atakuwa anaongeza quality tutasajili... hiyo statement ya kuangalia Summer inamaanisha tupo nae bado??

Itapendeza akibaki maana yeye pekee ndio kocha mwenye maamuzi magumu kwa sasa kwa wale tunaovumishiwa nao

Pochettino
Ten hag
Amorim

Hao wote wanapersonality ya upole sana itawasumbua
 
Yani upige bench Ronaldo kwa wachezaji gani waliopo United wa kucheza hiyo namba kumzidi Ronaldo?
Piga benchi Ronaldo panga Cavani. Ronaldo anacreate unwarranted demands kwa timu nzima kumtafuta yeye afunge kwa malengo yake binafsi ya kuvunja records, na ndio namba tisa pekee ulaya kwa sasa anaye aim kupiga mpira alafu anaukosa.
 
Piga benchi Ronaldo panga Cavani. Ronaldo anacreate unwarranted demands kwa timu nzima kumtafuta yeye afunge kwa malengo yake binafsi ya kuvunja records, na ndio namba tisa pekee ulaya kwa sasa anaye aim kupiga mpira alafu anaukosa.
Duuhh umeshafika huku mkuu, unajua wewe ni miongoni mwa wanaoaminika humu so punguza msg za emotions mkuu.
 
Duuhh umeshafika huku mkuu, unajua wewe ni miongoni mwa wanaoaminika humu so punguza msg za emotions mkuu.
I am not being emotional, I am just offering Ronaldo a fair assessment, He is doing more harm to the team than good. Ni mchezaji anayelalamikia wenzake dakika 70/90 za mchezo wakati sincerely yeye ndiye aliyepeswa kulalamikiwa.

Ronaldo ni sababu kubwa ya kiwango cha mpira cha timu kushindwa kuimprove consistently hata baada ya ujio wa RR sababu wakiingia tu uwanjani anataka kuattract attention ya timu nzima, anawasababishia wachezaji kigugumizi wakiwa na mpira, wapige kwa mchezaji aliyejiposition au wapige kwa Ronaldo, matokeo yake hata yeye mwenyewe hapatiwi quality passes.

wewe unaangalia magoli anayofunga mimi naangalia contribution yake to the timu, naangalia anachofikiria na namna anavyo affect an entire timu.

I wish one of these days aanzie benchi.
 
Hapo chini ungefaa umalizie

Mimi ni team messi
 
Piga benchi Ronaldo panga Cavani. Ronaldo anacreate unwarranted demands kwa timu nzima kumtafuta yeye afunge kwa malengo yake binafsi ya kuvunja records, na ndio namba tisa pekee ulaya kwa sasa anaye aim kupiga mpira alafu anaukosa.
Acha roho ya kichawi mkuu, 🤝
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…