Manchester United (Red Devils) | Special Thread

just true
 
Maguire ni Ninja(Yanga) mweupe, ni mpumbavu sana.
 
Kwa Magu pale tumepigwa parefu sana, wote waliohusika na usajili wa huyu jamaa wanapaswa kufunguliwa kesi ya uhujumu uchumi.
Yaani jitu lipolipo tu hata halielewi linafanya nini uwanjani, lenyewe ni kutoa maboko tu halafu limepewa na unahodha juu.
McTominay ndio man of the match kwa leo.
 
Kwanini kipindi Cha Sosha Scott na Rashiford walionekana wachezaji wazuri tofauti na kipindi hiki Cha RR, wewe haujiulizi?au kazi kumtetea Mzee wa maneno mengi mazuri RR kuliko Mourinho lakini kazi haionekani uwanjani?
Kipindi hiki kipi cha RR? Unajua ana match ngapi mpaka hii ya leo then unamlaumu unamsifu Ole wa the boys doing good n.k Hatukatai Ole amefanya kazi nzuri si mbaya ila hakuwa na uwezo wowote wa kuzidi alipokuwa amefikia na team.
 
Ni vyema tusubiri na signings zake kumbuka hapa anatumia wachezajo aliowakuta, ataletewa maana man u pesa ipo, tutamjudge angalau mwisho wa msimu
 
Kipindi hiki kipi cha RR? Unajua ana match ngapi mpaka hii ya leo then unamlaumu unamsifu Ole wa the boys doing good n.k Hatukatai Ole amefanya kazi nzuri si mbaya ila hakuwa na uwezo wowote wa kuzidi alipokuwa amefikia na team.
Kumfunga Burnley ndo upate energy ya ku comment! Subiri ukutane na timu zenye forwards MAKINI.Afuu uone Kama utarudi hapaa.
 
Ni vyema tusubiri na signings zake kumbuka hapa anatumia wachezajo aliowakuta, ataletewa maana man u pesa ipo, tutamjudge angalau mwisho wa msimu
Angesubiri msimu ukaisha Ili kuepusha kisingizio ndo akachukua timu,Mbona kina Zidane waligoma.Mbali na Ivo,mbona Spurs inafanya vizuri licha ya kocha mpya na wachezaji ni wale wale? Aston villa,licha ya kukutana na vigogo lakini imeonesha Kuna kitu tofauti na mwanzo. Kwanini RR??
 
Hii timu bado sana
Tena saana, nawaza Kwa mabeki na aina ya Ukabaji wa kina magwaya wakikutana hata na Brighton Au the foxes,bees.Tutaongea mengine maybe babati iwabebe lakini si Kwa deserve.
 
tunahitaji 9 damu changa, hawa wazee {ronaldo} na mwenzake miili ishawakataa kabisa, kila mpira wanaopata ni kurudisha kati then wanakimbia mbele, anatakiwa striker mwenye uwezo wa kutembea na mpira awape nafasi wachezaji wengine ku join attack. and besides we got money, kocha apewe madusko aingie sokoni maana amejinasibu sana "its all about buying players who can fit in the formation"
 
Ukabaji hovyo, pass za hovyo, kupoteza mipira kirahisi, ushambuliaji haueleweki.
 
Amesingizia lini na wapi unaweza kuonyesha aliposingizia?

Aliyekwambia RR hakugoma ni nani? Unajua terms alizopewa mpaka akakubali hiyo contract?

Chief, ukilinganisha matatizo ya nyumba yako na ya jirani hutofocus na ya kwako, mimi siwezi kucompare matatizo ya man u na Aston Villa, au Spurs unafahamu huyo spurs ana miaka mingapi pale hawana hata kikombe cha kombe la mbuzi leo ukawaambie vumilieni Conte anafanya kazi nzuri, watakuelewa?

Simsifu RR ila siwezi mtupia zigo la lawama kwa wachezaji callibre ya Maguire, Wan Bissaka, Martial, Rashford n.k kufikia february tutajua tu kuna mwanga au hakuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…