wachezaji waliopo pale man u wanatia hasira sana hata kabla mtu haujaanza ku type, yanabolonga then yanakimbilia mtandaoni kuandika maneno ya kulialia, mishahara wanayokula inawapa viburi, kwa aina na mentality iliyopo pale man u tutafukuza makocha wengi sanaSio wachezaji wote hawafai, baadhi ndo tatzo.
Wazee muwe mnaangalia game za bayern, man city na madrid utagundua wachezaji wao wako tayari kufa ili washinde match, wana commitment kubwa sn...bora tuanze kuamini vjana na uwape mindset mpya tusikariri hawa waliopo bora tuanze kujenga kikazi kingne.
NB: C.RONALDO yuko vzr sn thus why ana yellow card nne coz huwa anasaidia kukaba lkn kweny kushambulia hana wafuasi wakumsaidia kwa sababu kushambulia ni mfumo.
Hata James wa mambio alikuwa anajitumawachezaji waliopo pale man u wanatia hasira sana hata kabla mtu haujaanza ku type, yanabolonga then yanakimbilia mtandaoni kuandika maneno ya kulialia, mishahara wanayokula inawapa viburi, kwa aina na mentality iliyopo pale man u tutafukuza makocha wengi sana
Fvcking boring..
Hakuna hata hamasa ya kuwaangalia hawa vilaza wakicheza..
– Players struggling to adjust to Rangnick’s training sessions
– Certain players moaning
– Dressing room cliques/unrest..
– Four-seater booths installed at canteen
Unachekaaaaaa!!!!!
Moto unawaka
Wee mzee c ulkw unamktaa cavan wwMy XI vs Burnley
======
De Gea
Dalot Bailly Varane Telles
Matic VdB McTominay
Sancho Cavani Elanga
=======
Ronaldo mbinafi sana, bora Cavan asimamage pale mbele.Sio wachezaji wote hawafai, baadhi ndo tatzo.
Wazee muwe mnaangalia game za bayern, man city na madrid utagundua wachezaji wao wako tayari kufa ili washinde match, wana commitment kubwa sn...bora tuanze kuamini vjana na uwape mindset mpya tusikariri hawa waliopo bora tuanze kujenga kikazi kingne.
NB: C.RONALDO yuko vzr sn thus why ana yellow card nne coz huwa anasaidia kukaba lkn kweny kushambulia hana wafuasi wakumsaidia kwa sababu kushambulia ni mfumo.
Ndio bado namkataa coming next season 2022/2023..Wee mzee c ulkw unamktaa cavan ww
hakuna aliyekutuma ubetiGame ya leo mfanye juu chini mshinde, msipo shida mtajuta kwann hii thread ilianzishwa. Hasira zote tutamalizia hapa.
Tunakujua kijana wa sare sare mauaGame ya leo mfanye juu chini mshinde, msipo shida mtajuta kwann hii thread ilianzishwa. Hasira zote tutamalizia hapa.