Manchester United (Red Devils) | Special Thread

kwa sasa mpira tunautafuta, ila tukiupata hatujui vya kuutumia ipasavyo ndio maana tunalose possession\

The concept of keeping the ball is alien to this #mufc team. They win possession back then quickly concede it cheaply attempting passes that aren’t on or they shouldn’t be attempting. Big difference between risk taking & routinely making the wrong decision. Woeful half from them
 
Kama sikosei tunahitaji wachezaji kama 5 hadi 8 wa kufit haya mabadiliko sawa na $400m tena au tunahitaji academy yetu ianze kutulipa fadhila sasa.
hatua ya muhimu ni kuondoa kwanza wachezaji kwa sababu tunao wengi, tukishapunguza wage bill ndipo tunapaswa kuangalia maingizo mengineyo.

tusisajili kwa kusikiliza kelele za wachambuzi
tusisajili kwa sababu ya ukaribu wetu na mawakala
tusisajili mchezaji asiyeendana na mfumo
 
Ni muda sasa wa kuwapa nafasi wachezaji wa academy yetu labda wanaweza kufanya mabadiliko ya kiuchezaji kidogo kuliko kukomaa na hawa wahuni miaka neda rudi.
Elanga
Mejbri
Laird
Amad
angalau kwa kuanzia.
 
shida zetu zisigeuzwe fursa kwa wengineo

#mufc are happy to keep Anthony Martial beyond the January transfer window if their preferred terms are not met
 
Kwa jinsi morali ya timu ilivyo chini nadhani msimu umeisha rasmi kuanzia jana hasa linapokuja suala la ubingwa,top 4 na hata top 5 kama tunachukua muda mrefu hivi kupokea maelekezo ya mwalimu.

Kuna wakati unawaza kama hatukukosea kumnyima Conte mkataba kwa sababu za kipuuzi kama zile wakati tunajua tatizo letu sugu baada ya ubovu wa Ole ni nidhamu mbovu ya kutokuwajibika kwa mastaa wetu.
He was the right man for this group of vagabonds and united hierarchy.
 
Sosha kapewa miaka 3, RR hata mwezi mmoja sidhani utakuwa na siku kadhaa tu.. mnamuonea bure
Sosha alikuwa anatia matumaini,Lakini huyu wa Sasa hata matumaini hayapo kabisa licha ya mwezi hajamaliza.
 
Ngoja tuwaachie mda kidogo ili mpate kujadili uozo wa timu lenu, mkimaliza tunaendelea kuwakera kama kawa.
 
Wazee muacheni RR wa watu, team ni bovu halafu angalia mazingira aliyokuta hapo kumbuka carrington imefungwa na team haijacheza siku ngapi.. kila team ina matatizo yake na udhaifu wake ukienda kwa mashabiki wa Spurs uliowasemea unajua ni kias gani wana lalamika au unadhani huyo Conte angekuja ndio matatizo ya team yangeisha ndani ya mwezi mmoja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…