Kuna vinabo wawili wanaosababisha Man Utd isije na mpira muda mrefu namaanisha Mc Tominay na Rashid, hawa jamaa kila team inapokuwa na mpira lazima ipotelee kwao either kwa kutoa pasi zisizo na macho au kutuliza mpira hovyo.
Sasa kama kila muda team inakuwa na kazi ya kukaba ili kurudisha mipira inayopotea ambayo hâta hivyo hupotea kila inapopatiana, utaionaje kazi ya Ronaldo??
Team inapoteza sana mipira kwa upumbavu wa midfielders kwahiyo ni lazima umuone Ronaldo kama mzigo.