what i see kuna mgando wa akili kwa hawa mabwana, yani kocha anataka wachangamke wanaona okay ngoja tuchangamke miili halafu akili zigande, tuna win mpira then watu wanaenda kujificha katikati ya wachezaji wa timu pinzani, hawa vijana wanahitaji kupigwa shoti ya umeme walahi, second half kuna haja ya kumleta sancho na cavani