Ralf amemwambia klabu itaheshimu mtazamo wake ila na yeye anapaswa aheshimu maslahi ya klabu, mpaka muda huu hakuna ofa iliotumwa juu yake hivyo ataendelea kubaki kikosini kwa sababu ya wingi wa michuano na taathira za ugonjwa wa Covid.
Nimempenda jamaa alivyo straight pindi anapozungumzia ishu za klabu tofauti na bwana yule wa the boys.