Kipindi cha pili ameingia na akili mpya, ndani ya dakika 20 wamefunga goli 3.utadhani kocha wa leicester city ni chinua achebe dadeki, yani hana mfumo wowote kwenye hivyo mechi, wanachezewa robo tatu uwanja sio nusu tena dah, nasikitika kila nikiwaza eti kuna watu walikuwa wanampigia upatu brenda fassie awe kocha wetu
hakuna akili mpya hapo ni ngekewa tu Man City 6 - 3 LeicesterKipindi cha pili ameingia na akili mpya, ndani ya dakika 20 wamefunga goli 3.
Hata hivyo wamejitahidi sana,hakuna akili mpya hapo ni ngekewa tu Man City 6 - 3 Leicester
alikua alishasusa akaenda zake kukaaHata hivyo wamejitahidi sana,
Kumpiga City goli 3 ndani ya dakika 20 sio kazi ndogo.
Guardiola kipara yake ilikua ishaanza kupata moto.
His time is up..Ralf Rangnick:
anthony martial ameomba kuondoka klabuni baada ya kuhudumu kwa takribani miaka 7.
Ralf amemwambia klabu itaheshimu mtazamo wake ila na yeye anapaswa aheshimu maslahi ya klabu, mpaka muda huu hakuna ofa iliotumwa juu yake hivyo ataendelea kubaki kikosini kwa sababu ya wingi wa michuano na taathira za ugonjwa wa Covid.His time is up..
Naona aibu na fedheha kuzifuatilia mechi za liverpool na manchester city.City wako vizuri sana, utafikiri ni ps 4 wanachezeshwa...... Brendan rodgers hana uwezo wq kutupa mafanikio kwaile mid yao alafu hata pass 10 wanashindwa leo
youri tielemans amesababisha penalty hapa....4-0 hawajafika hata half time
Hujui lolote kuhusu mpira , Kwanza humu wewe ni mgeniNaona aibu na fedheha kuzifuatilia mechi za liverpool na manchester city.
Msimu mzima naweza kuangalia mechi 3 hadi 5 za timu hizo.
Umeanza kushabikia mpira 2016 unabishana na mwamba huyo anayechambua mpira humu kila sikuHujui lolote kuhusu mpira , Kwanza humu wewe ni mgenihatushangai
Anachambua mpira game zipi kama hawezi kaangalia game za liverpool na city ,au Chelsea huyo anashabikia seria a ,Umeanza kushabikia mpira 2016 unabishana na mwamba huyo anayechambua mpira humu kila siku
Labda anaumia kwa sababu ya mafanikio yenu tu current ila sio kwamba hajui mpira mpe heshima yake mkuuAnachambua mpira game zipi kama hawezi kaangalia game za liverpool na city ,au Chelsea huyo anashabikia seria a ,epl anaangalia live score
Anachambua mpira game zipi kama hawezi kaangalia game za liverpool na city ,au Chelsea huyo anashabikia seria a ,epl anaangalia live score
kids again, we have mejibri,gomes, garner, wote hawa wanakichafua I dont see this happening for sure
Gomes mbona aliondoka muda sana yupo lille sahizikids again, we have mejibri,gomes, garner, wote hawa wanakichafua I dont see this happening for sure
Ungeelewa kwanza alichomaanisha.Hujui lolote kuhusu mpira , Kwanza humu wewe ni mgenihatushangai