Manchester United (Red Devils) | Special Thread


Sijakata tamaa....

Hiyo siyo jadi ya #ManUnited

Ninachosema ni hii kasi ya goons kusema #ManUnited itashuka daraja, oh, mara haitomaliza top 4 na blah blah nyingine ka hizo....

Sasa ndiyo maana nimewaambia anayejiamini aje hapa na kuweka maneno na kumbukumbu hapa.....

Cc: Ulimakafu na goons wengine
 
Last edited by a moderator:
Nilikwishawaambia....Moyes hafai......wadau wakasema......apatiwe muda.......wachezaji ni wale wale wa SAF......

David anahitaji muda, ni hicho ndicho walichokubaliana na uongozi.....

Sasa kama wachezaji ni walewale, kwanini husijiulize ni kipi kimewakumba wachezaji walioshinda ubingwa msimu jana? Je, kama ni mgomo baridi kutoka kwao?

hiyo staili yake mpya aliyoivumbua kule Everton ilishaonyesha kufeli.....kwani juzi tu Everton na chini ya Martinez wamemchapa bakora ManU......Moyes aache misimamo ya kijinga.........

Kwanza, akiwa Everton, David aliibadilisha Everton kuwa lower-table team hadi kuwa timu nzuri kabisa huku akiwa na pesa kiduchu ya kununua wachezaji......filosofia yake ya kukuza vipaji na kuamini katika wachezaji wadogo ni moja ya sifa iliyompa ulaji #ManUnited

Kwa #ManUnited pesa ipo na ataweza kununua wachezaji anaowataka.....last summer ilikuwa ngunu kwake kutokana na muda mfupi aliokuwa nao na kuungushwa na Ed Woodward, aliyekuwa mzito kutoa pesa.....

Kwa upande mwingine, kwa hiyo unataka kusema Martinez ni bora zaidi ya David kwa sababu ya kuifunga #ManUnited ? Huyo Martinez si aliishusha Wigan msimu jana? Leo amekuwa bora? Hivi unaamini kinachoendelea Everton ni kwa sababu yake? Hayo ni matunda ya kazi ya David.

Ni afadhali wangemchukua Babu Manager Harry Redknap mara kumi kuliko Moyes.....

Kama wewe una mawazo mazuri zaidi ya kuchagua kocha wa #ManUnited kuliko #SAF na bodi ya #ManUnited sema hapa......
 

.....hahahaa....
Haya kamanda,
#MpiraUnadunda , anything can happen...
 
Last edited by a moderator:
The Reds prepare for Shakhtar Donetsk.
David Moyes put the players through their paces this morning during a training session at the Aon Training Complex. The Reds looked focused while preparing for Tuesday's UEFA Champions League clash with Shakhtar Donetsk and it was good to see Shinji Kagawa training alongside his colleagues after missing Saturday's game

 
Ingawa siyapendi matimu ya wazungu, nina ka ushauri kadogo tu, wabadili jina kutoka 'Man U - Red Devils' kuwa 'Man U - White Angels', wataanza kushinda, Mungu hadhihakiwi, huwezi kujiita shetani halafu aendelee kukubariki.
 
#MUFC XI to face Shakhtar: De Gea; Rafael, Ferdinand, Evans, Büttner; Young, Giggs, Jones, Januzaj; Kagawa, Rooney.

#MUFC Subs: Lindegaard, Anderson, Cleverley, Nani, Valencia, Hernandez, van Persie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…