Kuna jamaa mmoja Eti anasema "Rashford na CR " ni unprofessional, yani mtu anamweka Ronaldo sawa na Rashid.Kuna watu wanaudhi sn, ila nawaheshimu tu kwasababu wanamichango yao mizuri humu, cr7 hapondeki.
Inachekesha sana, huyo Rashford mwenyewe angalau sasa hivi amepata roll modal wake na cku hz kdg habutui butui hovyo mipira, anampa baba yake na anamalizia vzr kabisa.Kuna jamaa mmoja Eti anasema "Rashford na CR " ni unprofessional, yani mtu anamweka Ronaldo sawa na Rashid.
Nafurahi kukutana na hawa viazi, tuliwatoa tukiwa na team B umesahau?Messiiiiiiiiiiii first goal
Neymaaaaaaar second goal
Mbapeeeeeeeee third goal at Old Trafford
You are talking about the past bro ,do you know that?PSG ya sasa hao watu watatu wana magoli na Assists kwa first game hapo kwenuNafurahi kukutana na hawa viazi, tuliwatoa tukiwa na team B umesahau?
Tushapewa tayari.Kwahiyo ndo tupewe PSG??
Tupeni hao PSG sisi Liverpool tuwape Salzburg ndio level yenu.PSG vs Manchester United ni mechi ya kutengenezwa, kwa walioangalia draw wanajua kabisa hii ni mechi ya mchongo.
Uhuni ulianza tuvyokuwa drawn na Villarreal, teams from the same group, how is that possible!? [emoji706]
Unawataka? Hatua inayofuata utakutana na mshindi wa hiyo mechi.Tupeni hao PSG sisi Liverpool tuwape Salzburg ndio level yenu.
Lawama kwa ralf utamtupia mwenyeweHatukawii kumtupia zigo la lawama Ralf kama kawaida yetu wakati ni dhahiri kabisa kikosi ni kibovu.. itachukua time, kikubwa tuendelee kushinda na kutoruhusu magoli kama hivi, kikosi chetu ni cha kawaida sana hasa hapo kiungo na fullbacks
Ukiambiwa utaje angalau team tatu zenye uwezo wa kuifunga Liverpool utaitaja PSG?Unawataka? Hatua inayofuata utakutana na mshindi wa hiyo mechi.
Hawa UEFA walitaka msisimko wa mwisho mwisho tu kati ronaldo na Messi.Kwahiyo ndo tupewe PSG??
Europe nzima hakuna timu inayoweza kuifunga Liverpool.Ukiambiwa utaje angalau team tatu zenye uwezo wa kuifunga Liverpool utaitaja PSG?
Hamna West Ham wanawezaUkiambiwa utaje angalau team tatu zenye uwezo wa kuifunga Liverpool utaitaja PSG?