Hivi huyu kocha huwa anawaza nini kumuanzisha rashford mbele ya greenwood, kwa nini yeye rashford asimsubir greenwood
Yaani rashford ni kama martial tu, ni kati ya vijana wenye papara kwenye utendaji wao wa kazi, ampe nafasi Mason awaoneshe kazi jinsi inavyofanywa na si hao wakina rashford wanaotuletea utoto kila siku uwanjani