Hamjamuelewa huyu kocha, hapo anatafuta kundi jingine la vijana wa kuaminika baada ya testing ya kwanza kwenye mechi ya Crystal Palace.
Unajua Manchester United ina madogo wengi sana wenye vipaji ila shida ya OLE nakuwaza kuwatumia plus ule uoga wake ndo akawa amekariri wachezaji walewale kitu ambacho kimetufanya hâta mashabiki tuhisi kwamba hatuna wachezaji.
We ngoja madogo watakavyo pambania namba leo, nina imani baada ya Mechi ya leo kuna baadhi ya players mtatamani walau wawepo hâta benchi kila team inapocheza.
GGMU