Wanasema McTominay ni wamuhimu kuliko Fred hapo ndo nachoka.Ni muda wa kumtafuta partner wa Fred na sio vinginevyo kama legends wanavyotuaminisha.
Elanga dogo anajua..ana kasi na mguuni sio haba..Martial kaanza kuachwa nyumbani acheze na watoto.Ingizo la Elanga limekuwa surprise kwa wengi wetu hasa ukizingatia muda wa mchezo pamoja na mtu aliyechukua nafasi yake
Iwe nawe pia.Amani ya Mungu iwe nanyiView attachment 2034058
Sina kumbukumbu nzuri juu ya hili mkuuhivi martial nae ni majeruhi.
Huyu sio sosha bisaka mbona ataomba kuondoka mwenyeweMcTominay na Rashford ni wakudropiwa next game..
A member since Feb 09, 2018.Amani ya Mungu iwe nanyiView attachment 2034058
Kumbe Ralf anasema alimwambia Carrick abaki ili awe msaidizi wake, Carrick akagoma.I love Fred.
jana alifanya vizuri mazoezini ndio maana akapewa nafasi.Ingizo la Elanga limekuwa surprise kwa wengi wetu hasa ukizingatia muda wa mchezo pamoja na mtu aliyechukua nafasi yake
Geuza maandishi haya......SIJAJUA KWA NINI MAKOCHA HAWA WANAPENDA KU-RISK KIASI HIKI..DALOT ANAANZAJE? HUYU KOCHA MGENI NADHANI HAMJUI VIZURI ZAHA. DALOT ATABURUZWA SANA.
Awaulize wachambuzi kina Scholes, Neville, Keane. Walivyokuwa makocha ilikuaje!?Geuza maandishi haya......
Mpira sio maneno mengi
Huyu kocha anajua sana hii sub ilinishangaza sana lakini nikagundua anajuaElanga dogo anajua..ana kasi na mguuni sio haba..Martial kaanza kuachwa nyumbani acheze na watoto.
Right back ndiyo anatakiwa kuwa kama Dalot yaani ana u software flani siyo yuleNasubiri comment ya ARV juu ya performance ya dalot.
Bissaka ana ball control mbovu sn, no wonder aliachwa kwenye WC, ila huenda kocha pia alichangia, ngj tuone this time itakuwaje chini ya Ralf Rangnick.Right back ndiyo anatakiwa kuwa kama Dalot yaani ana u software flani siyo yule
Mnaijeria wanBissaka ambaye ni Hardware