Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,136
- 54,272
Correction. Mali hazijaisha ila anatakiwa atafute mali zake. Mali za baba si za kwakeMan utd ni sawa na jamaa ambaye kapigika na maisha ,maisha yamemchapa kweli kweli ,lakin zaman baba yake alikuwa tajiri ....kutwaa ni daily kuwambia watu baba yake alikuwaga tajiri anamiliki magari na kampuni ....
Amesahau kuwa anatakiwa kujipigania kwa Sasa Kwan baba yake hayupo Tena ,na mali zimeshaisha [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hahahaaaa daaaahhhhh we JamaaMan utd ni sawa na jamaa ambaye kapigika na maisha ,maisha yamemchapa kweli kweli ,lakin zaman baba yake alikuwa tajiri ....kutwaa ni daily kuwambia watu baba yake alikuwaga tajiri anamiliki magari na kampuni ....
Amesahau kuwa anatakiwa kujipigania kwa Sasa Kwan baba yake hayupo Tena ,na mali zimeshaisha [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kwa hii text yako km unawaza ubingwa hv[emoji1787][emoji1787]...lower Ur expectations man....unataka kupunguza gap ya nn.Job done,,,,! Chelsea wamekalia ukuni wa Moto !!!
Kazi kwetu kushinda kesho ili kupunguza gape,,,
Let's go Mufc,,,!
Ralph at the wheel,,, ! [emoji629]
TrashLiverpool have ascended the throne, they have leapfrogged Chelsea & City, later today potentially City will also be leapfrogging Liverpool and Chelsea and ascend the throne, if this happen, Chelsea will have got leapfrogged by both City and Liverpool which is curse, in the next three months this scenario will get repeated and push them two steps further down the ranks.
haba na haba [emoji16]Kwa hii text yako km unawaza ubingwa hv[emoji1787][emoji1787]...lower Ur expectations man....unataka kupunguza gap ya nn.
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Wamchukue tu, hivi vi average players vimetu cost sn.Newcastle United have offered Jesse Lingard a 4.5year deal significantly in excess of the £100,000-a-week salary of the club’s present top earner, Miguel Almirón.
#Times
manutd |
#GGMU[emoji123][emoji41]View attachment 2032647
Gegenpressing ndiyo style gn hii mkuu.The Godfather of Gegenpressing
[emoji2788] — Rangnick's message to fans:
“As I said, I think everybody expects – especially the supporters but also the players and the coaching staff – to perform in a successful way and to play in style..”
manutd |
#GGMU[emoji123][emoji41]View attachment 2032654
Ohoo kumbee.Wachezaji lazima walale na viatu.View attachment 2032895
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kina Evra nao watuache sasa DNA ya nyoko wakuache mzee atengeneze timu tushawachoka.
Sent from my RMX2189 using JamiiForums mobile app
Papaa Gx njoo umsikie huyu kenge [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Man utd ni sawa na jamaa ambaye kapigika na maisha ,maisha yamemchapa kweli kweli ,lakin zaman baba yake alikuwa tajiri ....kutwaa ni daily kuwambia watu baba yake alikuwaga tajiri anamiliki magari na kampuni ....
Amesahau kuwa anatakiwa kujipigania kwa Sasa Kwan baba yake hayupo Tena ,na mali zimeshaisha [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kweli wale jamaa nawaona wapo organizedTuwe makini na palace leo sio mechi nyepesi kama watu wanavyowaza tukumbuke msimu huu kamchapa man city 2 bila nyumbani kwake.
Hata hivyo mechi tano zilizopita hapo OT man u hajawahi shinda zote.Tuwe makini na palace leo sio mechi nyepesi kama watu wanavyowaza tukumbuke msimu huu kamchapa man city 2 bila nyumbani kwake.