The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Ss baki kule kule kwenye jukwaa lako tutakufuata mkuuMpira wetu ni uleule,na mkumbuke tulikuwa OT lakini matumbo yetu yalikuwa moto dakika zote 90!!!Man U ninayoifahamu mimi tulikuwa hatu-struggle kuigonga Arsenal!!!narudia tena Ushindi wetu wa leo usitupe jeuri kwamba sijui timu imebadilika no no no, bado tuna safari ndefu,Penati ile ni michongo tu
Ana corona au kapona?Mkuu hata mimi niliona alivyo toka Rashfod angeingia Greenwood alafu ile taka taka Martial isingeingia kabisa leo.
Vipi tulichomoa au?Kipindi cha pili, kamba mbili tuone mtachomoa tena
Mnajikuta mafundi sana kuchomoa mabao, kama mabinti wa tanga
Unateseka pasipo na sababu arse8, mechi imeisha hiyo.Tatizo letu Man U huwa tunajifariji sana baada ya kushinda,lakini ukweli ni kwamba Timu yetu bado sana,tuna-furukufuruku tu,Man U ninayoifahamu mimi sio hii!!!lile tuta ukiliangalia vizuri hata halikuwa tuta sahihi basi tu,yaani tunagongwa goli 4 na Watford juzi leo tunajifariji tuna timu nzuri kweli baada ya kuifunga Arsenal kwa mbinde!!!let us be serious
Kwahiyo unataka tufanye nini?Sawa tufarijiane leo,kesho tusianze kulialia tena humu,Ligi ilipoanza maneno ya matumaini yalikuwa meeeengi humu kwamba tunabeba Ndoo,khaaaa
Upo kama mimi mkuuHahahaaa! Kama mimi akifunga Egyptian King, yaani hata tupigwe mia ila mfalme akifunga roho yangu kwatuuu
Labda ndoo ya majiSawa tufarijiane leo,kesho tusianze kulialia tena humu,Ligi ilipoanza maneno ya matumaini yalikuwa meeeengi humu kwamba tunabeba Ndoo,khaaaa
Endelea kujifariji sisi tunachojua jana tume mnywa arse8.Sawa tufarijiane leo,kesho tusianze kulialia tena humu,Ligi ilipoanza maneno ya matumaini yalikuwa meeeengi humu kwamba tunabeba Ndoo,khaaaa
Wewe kweli ni mbuzi, na inaonekana umeumia sana team lako kufungwa.Tatizo letu Man U huwa tunajifariji sana baada ya kushinda,lakini ukweli ni kwamba Timu yetu bado sana,tuna-furukufuruku tu,Man U ninayoifahamu mimi sio hii!!!lile tuta ukiliangalia vizuri hata halikuwa tuta sahihi basi tu,yaani tunagongwa goli 4 na Watford juzi leo tunajifariji tuna timu nzuri kweli baada ya kuifunga Arsenal kwa mbinde!!!let us be serious
InjuryHivi Pogba aliuzwa!
Kwahiyo utasubiri hadi man u unayo ifahamu ndy ujifariji? Acha zako team ikishapata matokeo sisi kazi yetu kusumbua mtaa.Tatizo letu Man U huwa tunajifariji sana baada ya kushinda,lakini ukweli ni kwamba Timu yetu bado sana,tuna-furukufuruku tu,Man U ninayoifahamu mimi sio hii!!!lile tuta ukiliangalia vizuri hata halikuwa tuta sahihi basi tu,yaani tunagongwa goli 4 na Watford juzi leo tunajifariji tuna timu nzuri kweli baada ya kuifunga Arsenal kwa mbinde!!!let us be serious
Mamluki huyo mpuuzeni.Wewe kweli ni mbuzi, na inaonekana umeumia sana team lako kufungwa.
Unataka shabiki wa Man UTD afurahi team yake ikifanya nini kama unasema ikishinda kama hivi hatutakiwi kufurahi? Ikiwa moira tumecheza na magoli tumefunga na hautaki tufurahi, nini logic ya ushabiki sasa.
Unasema juzi tulipigwa 4 na Watford kwahiyo hatutakiwi kufurahi baada ya kuifunga Arsenal, unailinganishaje Watford na team kama Chelsea , Villarreal na Arsenal ambazo tumecheza nazo bila kupoteza mchezo baada ya Kupigwa 4 ? Bila mabadiliko hâta kigodo hayo yangewezekanaje?
Pole dogo.
Mamluki huyo mpuuzeni.
Wewe kweli ni mbuzi, na inaonekana umeumia sana team lako kufungwa.
Unataka shabiki wa Man UTD afurahi team yake ikifanya nini kama unasema ikishinda kama hivi hatutakiwi kufurahi? Ikiwa moira tumecheza na magoli tumefunga na hautaki tufurahi, nini logic ya ushabiki sasa.
Unasema juzi tulipigwa 4 na Watford kwahiyo hatutakiwi kufurahi baada ya kuifunga Arsenal, unailinganishaje Watford na team kama Chelsea , Villarreal na Arsenal ambazo tumecheza nazo bila kupoteza mchezo baada ya Kupigwa 4 ? Bila mabadiliko hâta kigodo hayo yangewezeka
sawa tulifungwa 4 na Watford swali la kujiuliza baada ysa kufungwa na watford tumecheza mechi ngapi? almost tumeshinda zote icpokuwa tu draw na Chelsea auoni improvement apoMamluki huyo mpuuzeni.
Anajifanya kuingia kwenye uzi kwa kujifanya Man Utd alafu anaponda, man u gani huyu anaponda mpk kushangiliaWewe kweli ni mbuzi, na inaonekana umeumia sana team lako kufungwa.
Unataka shabiki wa Man UTD afurahi team yake ikifanya nini kama unasema ikishinda kama hivi hatutakiwi kufurahi? Ikiwa moira tumecheza na magoli tumefunga na hautaki tufurahi, nini logic ya ushabiki sasa.
Unasema juzi tulipigwa 4 na Watford kwahiyo hatutakiwi kufurahi baada ya kuifunga Arsenal, unailinganishaje Watford na team kama Chelsea , Villarreal na Arsenal ambazo tumecheza nazo bila kupoteza mchezo baada ya Kupigwa 4 ? Bila mabadiliko hâta kigodo hayo yangewezekanaje?
Pole dogo.
Mkuu, Toka kwenye hicho kichaka!
"Arsenal sio timu ni kikundi cha wahuni waliokusanywa na kupewa jezi" Prince KuntaMkuu, Toka kwenye hicho kichaka! View attachment 2031247