Mkuu ronaldo muache kama alivyo mkuu huo ubinafsi ndio huwa unatubeba, vitoto vyenyewe vya kuvipasia viko wapi, miaka yote viko hapo vinaruka ruka tu, cr7 anacheza vizuri kabisa wacha gubu.McTomminay asirudi asee aingie Van De Beek ili kutoa penetration passes.
Alafu Ronaldo aache ubinafsi wacheze kitimu mbona arsenal anakufa tu. Ubinafsi ni tatizo. Ronaldo angempasia Rashford au Sancho chances zake.
Ile vile Maguire angepasia.
Tupo vitani mura, fair play hatuna huo msamiatiArsenal hawajui kitu inaitwa fair play
Atleast ametoa pasi nzuri ya goli..ila jamaa hizi 45mn amepoteana vibaya sana.Tabia ya kupoteza mipira inakera
Alafu kuna mtu anamsema cr7Game nzuri kwa kweli sema rashford kapoa sana sijui kwanini nimependa huu mchakamchaka Ronaldo anaruka ticktak kama ana miaka 20 mpuuzi huyu.
Sent from my RMX2189 using JamiiForums mobile app
Pale kati tunahitaji world class midfield co hawa sunche na kapeto, au labda Ralf atawapa maarifa, but uchezaji wa Mctomy c wa kiwango cha kucheza Utd.McTomminay asirudi asee aingie Van De Beek ili kutoa penetration passes.
Alafu Ronaldo aache ubinafsi wacheze kitimu mbona arsenal anakufa tu. Ubinafsi ni tatizo. Ronaldo angempasia Rashford au Sancho chances zake.
Ile vile Maguire angepasia.
Kabisa. Na nataka waingereza wawe benchi. Shaw ni tatizo. Afadhali tuna Ralf Shaw akipona atajua hajui kocha anataka performance sio UingerezaTelles mechi hizi alizocheza baada ya Shaw kuumia amejitahidi sana..
Hahaha! We jamaa hutakagi CR7 asumbuliwe kabisa katika majukumu yake.Mkuu ronaldo muache kama alivyo mkuu huo ubinafsi ndio huwa unatubeba, vitoto vyenyewe vya kuvipasia viko wapi, miaka yote viko hapo vinaruka ruka tu, cr7 anacheza vizuri kabisa wacha gubu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hana akili ya mpira.Limaguire silipendi asee, amalizie kuvaa armband ya ushoga mechi ijayo apewe mwingine. Likichwa box sana. Lilikua linachoma tena kwa kuvuta Tomiyasu.
HapanaMkuu ronaldo muache kama alivyo mkuu huo ubinafsi ndio huwa unatubeba, vitoto vyenyewe vya kuvipasia viko wapi, miaka yote viko hapo vinaruka ruka tu, cr7 anacheza vizuri kabisa wacha gubu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi kurudisha mipira nyuma, hii miaka baada ya Fergie tumekosa kabisa creative midfielders, labda Pogba but tatizo hajitambui.Nadhani mmeona jinsi McTominay anavyokimbiaga mipira..si mmeona alichokifanya akiwa na Rashford pale.
Piga benchi, aliyemnunua ashafurushwa so sio hasara kwa Ralf.
Shaw yuko vizuri tu, matatizo madogo madogo hayakwepeki.Kabisa. Na nataka waingereza wawe benchi. Shaw ni tatizo. Afadhali tuna Ralf Shaw akipona atajua hajui kocha anataka performance sio Uingereza
Huwa hakosei yule mzee, wamuache kabisa, na lazima afunge leo.Hahaha! We jamaa hutakagi CR7 asumbuliwe kabisa katika majukumu yake.