mkurya org.
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 1,571
- 1,697
Nimewaza hilo. Keeper huwa analindwa sana. VAR ndipo nashindwa kuielewaSo goalkeeper yuko injured(haijalishi kaumizwa na nani), kalala hata hayupo mchezoni, how come goal linastand??
Ngapi ngapi huko [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nyumbu kisha kula 0-1
Tabia ya kupoteza mipira inakeraFred anachocheza anakijua mwenyewe..