Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkurugenzi wa ufundi anabakiwa na majukumu gani sasa?
 
Hizo habari za Amadou ni za kutaka kuchafua hali ya hewa, japo kuna mtu kamshauri jamaa awe makini sababu mashambulizi na scrutiny atakayokabiliana nayo kwa kuwa kocha wa man utd hajawahi kutana nayo katika maisha yake.

nategemea busara za umri wake zitamuongoza vyema.
 
Hizo habari za Amadou ni za kutaka kuchafua hali ya hewa, japo kuna mtu kamshauri jamaa awe makini sababu mashambulizi na scrutiny atakayokabiliana nayo kwa kuwa kocha wa man utd hajawahi kutana nayo katika maisha yake.
muda huu changamoto hiyo inamkabili cristiano ronaldo kutoka kwa pundits.
eti hana msaada kwenye timu kwa sababu hatimizi majukumu ya kukaba
 
Kwenye bajeti ya usajili huyu mjerumani mbona hana tofauti na babu fergie
 
Man United hawana connection siku hizi.
 
Mkurugenzi wa ufundi anabakiwa na majukumu gani sasa?
Huyu aliyepo alikuwa figurehead tu, without any real power to influence football matters. Ed Woodward ndiye aliyekuwa ana-oversee transfers. Mfano mzuri ni usajili wa Cristiano Ronaldo.

Kikao cha kumfukuza Ole walikaa watu wanne Avram Glazer and Joel Glazer via Zoom, Ed Woodward and his expected replacement, commercial director Richard Arnold.

Sporting directors and directors of football at European clubs are often given power over a manager’s future, or at least a say. On John Murtough, his job is purely an advisory role.
 
Inamaana Ed Woodward na kina Glazer ni wahuni?
 
Ili huyu cocha wetu anahitaji maombi, kuna hatari Man Utd ikawa ni sophisticated zaidi yake. Sababu nasikia yeye kataka aende na video analyst wake, lakini Man Utd iliishamove from contemporary video analysis to Artificial Intelligence, sasa atakuwa compatible kwenye hii set up kweli?
 
Wacha akutane na wanaume wa shoka pep,klop ,TT ........


Mtamkataaa wenyewe
 
Inamaana Ed Woodward na kina Glazer ni wahuni?
Sana tena sio kidogo. Hicho cheo walikileta baada ya recommendations za watu kugundua blunder nyingi alizokuwa anafanya Ed Woodward hususani ktk usajili na mikataba.

Just imagine alimsainisha Phil Jones mkataba wa miaka minne na nusu mwaka 2019. Mchezaji ambaye ndani ya misimu mitatu mfululizo alikuwa amecheza chini ya 10% ya michezo aliyopaswa kucheza.

Mpaka hapa niapoandika toka amesaini ule mkataba feb. 2019, Phil Jones mpaka leo amecheza michezo 8 tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…