Supercomputer
JF-Expert Member
- Feb 13, 2021
- 673
- 1,438
Mbwembwe za wachezaji kukamia hizi mechi 2 au 3 za mwanzo baada ya kutimuliwa OGS ili wadhihirishe kuwa wako vizuri isipokuwa tu Kocha aliyefukuzwa ndiye aliyekuwa mbovu.Man u ina kikosi kipana kuliko Chelshit, kukosa huruma ya refa tulikuwa tumeshinda mechi leo.
Kwanini vitambaa vya unaodha vina rangi hiyo?
Kante, Kovacic, Chilwel majeruhi.Hivi tunashindwa nini kupiga walau pass 4/5 kwenda mbele wakati tunatengeneza mashambulizi?
Tumekuwa kama burnley inacheza na prime liverpool au city!
Hawa ni chelsea tu wenye chalobah,odoi,loftus-cheek lakini tunashindwa kuwamiliki kiuchezaji!
Wiki ya ushoga na ndugu zake kama u-lesbian na transgender.Kwanini vitambaa vya unaodha vina rangi hiyo?
Mshaanza viteteo? Kutoka kusema mnakikosi cha kushinda 5....sahizi mnasema majeruhiKante, Kovacic, Chilwel majeruhi.
Ile nafasi ya fred tungeongea mengine.
Kazingua sana pale.
Carrick anaonekana ni kama ana mbinu kushinda boss wake sosha.
Nyumbu ni Nyumbu tu, mechi 2 tu kelele kila kona ya dunia mkishangilia kuwa hakuna Kocha zaidi ya Carrick.Mshaanza viteteo? Kutoka kusema mnakikosi cha kushinda 5....sahizi mnasema majeruhi
Hiyo unaweza kuizungumzia wewe hainihusu.Na nafasi ta Rudiger dakika ya mwisho?
Hakika dunia inakwenda kasi sana ni kwamba hao viumbe wapewea na siku ya kusherekea kabisa?Wiki ya ushoga na ndugu zake kama u-lesbian na transgender.
Asilimia kubwa ya mashabiki wa Chelsea ni kundi la watu wenye umri wa miaka 15 mpaka 24 sijawahi kuwachukulia serious. Wengi wao they are emotional driven. (same WhatsApp group na mashabiki wa Manchester City)Hao takataka wa daraja la ovyo wanamashabiki wa ovyo sana....
Toka juzi unawaona wanasema mara bao, mara tako mara sijui kumshikisha ukuta ni watu wa ovyo.....leo tumewafundisha mpira sio mdomoni pia mendy ametaka kuwachoma mara 2 ....
Hawajadili mpira utasikia tuchelball shenziii kabisa
hivi kati ya man u na chelshit nani alikuwa na kelele kuelekea hii game?Nyumbu ni Nyumbu tu, mechi 2 tu kelele kila kona ya dunia mkishangilia kuwa hakuna Kocha zaidi ya Carrick.
Tuweke akiba ya maneno kwa mechi 3 zijazo tuone kama kweli Mwantesa Utd ni timu bora au ni bora timu.
We ndiwe mtoto wa kike, lini uliona mi nimemtukana humu mshabiki wa Mwantesa Utd zaidi yako wewe pekee leo hii?Asilimia kubwa ya mashabiki wa Chelsea ni kundi la watu wenye umri wa miaka 15 mpaka 24 sijawahi kuwachukulia serious. Wengi wao they are emotional driven. (same WhatsApp group na mashabiki wa Manchester City)
Utaona hapa wanakuja tu kutukana hata kama kuna muda mnahitaji kufanya majadiliano mazuri kuhusu mpira. Wao wanaweka hisia mbele kama watoto wa kike. Mwisho wa siku mnaonekana wote ni dhaifu na watoto.
Fred kapewa pass na Mendy then kamrudishia Mendy Tena pass .....wakati Ronaldo alikuwa pale .....
Nyumbu ni nyumbu tu hahahaaaa
We mzembe wewe una miaka mingapi!?Asilimia kubwa ya mashabiki wa Chelsea ni kundi la watu wenye umri wa miaka 15 mpaka 24 sijawahi kuwachukulia serious. Wengi wao they are emotional driven. (same WhatsApp group na mashabiki wa Manchester City)
Utaona hapa wanakuja tu kutukana hata kama kuna muda mnahitaji kufanya majadiliano mazuri kuhusu mpira. Wao wanaweka hisia mbele kama watoto wa kike. Mwisho wa siku mnaonekana wote ni dhaifu na watoto.