Dani olmo ni bonge la mchezajiThree players Ralf Rangnick could bring with him to Manchester United
√ Karim Adeyemi
√ Dani Olmo
√ Sardar Azmoun
#ManchesterEveningNews
manutd |
#GGMU[emoji123][emoji41]View attachment 2026398
Draw to inatosha kwa kweli ....kufungua ukuta wa Chelsea imekuwa ngumuHawa ni ndugu zako unatoka nao jiji moja mbona unawafanyia hivo?
Wasapoti bhana.
Mbona mimi nawasapoti walondon wenzangu Arsenane?
Joginyo kawahonga hilo goal...Draw to inatosha kwa kweli ....kufungua ukuta wa Chelsea imekuwa ngumu
Dah fresh tu.... Siyo mbaya siku moja moja... Nao ni binadamu...Vp bia inapita kweli?
Ukuta wa Chelsea ni hatari sana kuufungua inahitaji nguvu ya ziada.Draw to inatosha kwa kweli ....kufungua ukuta wa Chelsea imekuwa ngumu
Haya basi moja bila unaongozaDuh penalty gn hii wakuu.
Aah kk nyie misimu ya nyuma mmesahau penalty zenu z michongo mara hii[emoji23]Duh penalty gn hii wakuu.
[emoji1787]Ronaldo hakupaswa kuingia mapema vile, anatukaba